Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,569
- 284,103
una uwezo mdogo sana wa kuchanganua mambo.Una eneo lingine tofauti na msituni?, kwa maana huko ukibanwa waweza waeleza ulienda kulima, watakuelewa

Ingia msituni tuone umwamba wako,
Wewe umesoma nini?Umeandika nn we attorney wa lumumba
Ni pole poole sana mkuu kwa tulikofikia bado sana, itatuchukua miaka mingine 60 hiki kizazi na chooote kilichoshoshuudia uhuru kitoke, na haya manyang'au na makishabu yanayooandika upupu wote wafe kije kizazi cha mashujaaKama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?
Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?
Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?
Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?
Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?
Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?
Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?
When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!
SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Stop your nonsense ! Usipime akili za watu humu JF ! People think greater than your....whatever !Kama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?
Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?
Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?
Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?
Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?
Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?
Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?
When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!
SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Nafikiri unatafuta kuwa muasi kwa hoja ambazo hata huwezi kuziprove,hii ni hatar sanaKama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?
Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?
Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?
Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?
Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?
Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?
Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?
When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!
SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Umeandika nn we attorney wa lumumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe umesoma nini?
Fact! Teach them !Msio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
Democrasia sio option tena kwa Tanzania inabidi tuanze kupasha karibu kunakuchwa upole wetu umetafsiriwa kubwa ujingaWell hii ni tahadhari nzuri kwa watawala kama watajiongeza!
The best wanawezafanya ni kuniua kama wakiwa na bahati, baada ya hapo hawawezi nifanya kitu tena.MTOA MADA HEBU JARIBU UONE .... UTAJUA NI KWANINI BIRINGANYA HAIWEKWI KWENYE KACHUMBARI
Kikubwa wanawezafanya ni kuniua kama wakiwa na bahati.MTOA MADA HEBU JARIBU UONE .... UTAJUA NI KWANINI BIRINGANYA HAIWEKWI KWENYE KACHUMBARI
The best wanawezafanya ni kuniua kama wakiwa na bahati, baada ya hapo hawawezi nifanya kitu tena.
Kikubwa wanawezafanya ni kuniua kama wakiwa na bahati.
Baada ya happy hawawezi kunifanya kitu tena.
Gharama yake unaijua??Kama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?