l am "singing worship and praise... "No problem,you keep singing praise and worship to Jiwe!
Pamoja sana!It's high time we show what we are made of
and me
2016 nilienda wilaya ya urambo kijiji kimoja kuwatembelea marafiki zangu niliosoma nao miaka 20 iliyopita, cha ajabu wakayi natoka kijijini huko kuja urambo mjini nilishangaa mwendesha boda boda akiongea kwa huruna na wakati mwingine kwa jazba kuhusu mambo ya jiwe anavyoatreat walalahoi, nilipofika urambo mjini nikakuuliza yule kaka kuwa unafikiria nini kifayike, jibu alilonipa daah nilibaki mdomo wazi, alidai yupo tayari hata apewe milioni 10 ahakikishe familia inakaa sawa, wamfunge mabomu avae shati la kijani aende kwenye mikutano yao kisha ajilipulie mbali, nilijiuliza sana ingawa mwendesha boda boda ana maamuzi haya, je huko mbele tutafika, nilijiuliza sana, sasa ndo nauona huu uzi nikakumbuka maneno ya huyo kaka,
Adhabu ya muasi ni kifungo cha maisha au kunyongwa jiandae na hilo piaKama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?
Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?
Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?
Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?
Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?
Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?
Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?
When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!
SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Yeah. Kwa jicho mmoja Gaddafi alishindwa na kuuawa na kile ninadhaniwa ni nguvu ya umma ikishirikiana na mabeberu na Jicho la PILI impact iliyopo hadi leo kwa kifo chake.mkuu umewaza kwa fikra huru na umevuka upeo wa kawaida wa fikra.. mawazo yako yamejaa ukweli mtupu... nakwambia hata Gaddafi hakuijua nguvu ya umma kabla pamoja na jeshi na polisi kumuunga mkono unaambiwa hakupata pa kutorokea japo alipewa visting offer ya kwenda uhamishoni na marafiki zake. nakuahidi TUTAWANYAKUA TU.
KabisaVitisho na uchawi ndio njia pekee ya mbumbumbu kupambana na wasomi
Naona unaota mkuu..... Kuhusu hili sahau SI kwa Tanzania hii.....Mimi bado sijakata tamaa hivyo naamini CCM tunawang'oa 2020
me toocount me in
Akijarubu kuweka JW hapo katangaza vita.Kwa hali inavyoonekana 2020 JW watakuwa kwenye vituo vya kura!
Tanzania haijachanjwa channo ya kuzuia vita na machafuko ya wenyewe kwa wenyewe kitu kizuri ni jumuia ya kimataifa imeshajua kuwa CCM na INTERAMWE wao wa UVCCM ndio wanoichafua nchi.Naona unaota mkuu..... Kuhusu hili sahau SI kwa Tanzania hii.....