Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

Tanzania haijachanjwa channo ya kuzuia vita na machafuko ya wenyewe kwa wenyewe kitu kizuri ni jumuia ya kimataifa imeshajua kuwa CCM na INTERAMWE wao wa UVCCM ndio wanoichafua nchi.
Zoezi la kuwafanya wasiwe na credibility kwenye jumuiya za kimataifa ni hatua nzuri ila lazima tuwe na plan B and C.
Jumuiya za kimataifa hazitapambana kwa ajili ya watanzania!
 
Zoezi la kuwafanya wasiwe na credibility kwenye jumuiya za kimataifa ni hatua nzuri ila lazima tuwe na plan B and C.
Jumuiya za kimataifa hazitapambana kwa ajili ya watanzania!
Wacha wajinyee halafu wajipakae jumuia za kimataifa zitabana pua na kuwaambia indokeni harufu inazidi kuwa mbaya.
 
Kama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?

Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?

Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?

Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?

Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?

Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?

Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?

When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!

SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Kapige kazi familia yako ipate mahitaji muhimu... Usiwazwe uzwazwa ambao hautakusaidia chochote
 
Kapige kazi familia yako ipate mahitaji muhimu... Usiwazwe uzwazwa ambao hautakusaidia chochote
Wewe utakuwa au chini ya meza ya Bashite au ya Jiwe unaokota makombo na hutaki mtu adisturb hiyo nafasi yako!
 
Wanatulazimisha tuharibu nchi na umoja wa taifa letu.Mimi sasa rasmi namuomba Mungu awape majanga makubwa viongozi na wafuasi wao kwa udhalimu huu Kuua democrasia na umoja wa taifa letu.
Hakika. Na tutatoa ushirikiano wote
 
Back
Top Bottom