Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

Mnaoshabikia uasi na vurugu mna hamu ya kubaka na kubakiwa ndugu zenu wa kike bila sheria kuchukua mkondo wake. Vita si lelemama kama mtoa mada anavyojaribu kueleza. Omba sana usije ukaishi katika nchi isiyo na utawala wa sheria.

Huko ndioko tunapo fikishwa na Viongozi wasio zingatia na kuzifuata Sheria walizo Apa kuzilinda na kuzisimamia.Wananchi wanapoona hayo ndio hugeukia njia mbadala ,kumbuka mnao waumiza kila Wakati ni Binadamu kama ulio wataja.
 
Amani iwe nanyi acheni kuichezea ni ghali mno acheni acheni acheni mawazo yenu
 
Mwalimu aliwaasa watu enzi hizo kuwa Tanzania siyo kisiwa na wala watanzania siyo watu tofauti na wengine duniani, kinachopelekea mapigano au magomvi katika nchi ni mchakato wa matendo ya ushenzi, dhulma, uonevu, siasa chafu, mambo haya yakiaccumulate kwa muda mrefu yanajenga resentments ambazo hatimaye spark kidogo tu inawalipua watu. Huenda kwa sasa bado hatujafika hiyo point of no return, lakini hali ikiendelea hivi, uonevu ukiendelea kuzidi kama unavyofanyika sasa nchini basi tunaelekea kubaya kubaya sana. Mimi najiuliza wako wapi watu wenye hekima ndani ya mifumo yetu kukema haya mambo kabla hatujaenda huko!
 
Ooh my. I feel for you and for me, man!
I hate to say 'nothing stays for ever,' because it sounds so useless. But I think it's just a matter of time.
 
Kuna watu humu wanajidanganya eti gadafi aliondolewa na nato.nato ndo waliingia barabarani kupinga utawala a gadafi?.raia ndo waliongia barabarani kupinga utawala wa gadafi.
 
Kama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?

Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?

Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?

Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?

Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?

Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?

Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?

When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!

SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!

nani alikwambia demokrasia hipo.mpaka leo ukiuliza nini maana ya demokrasia ina maana zaidi ya kumi.neno gani ambalo lina maana zaidi ya kumi,hapo ujue probaganda ndani ya demokrasia ndani yake
 
Ni aibu sana kujifanya unalilia demokrasia kutoka nje wakati chama chako tu hakina demokrasia na ufisadi umejaa, hakuna mapato wala matumizi yalishawahi kuwekwa wazi tangu umejiunga.
 
Kama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?

Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?

Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?

Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?

Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?

Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?

Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?

When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!

SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
Ukishakuwa muasi ndio utapata majibu ya maswali yako au unaongeza ugumu wa kupata majibu?
 
Msio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
Kwa io na sisi tukiitoa CCM kwa msaada wa NATO tutakuja kujutia kama Walibya? watu wengine mapimbi sana k@#$%&?e
 
Wallah nakuhakikishieni hakuna kitu ninachokichukia kama dhulma, Najua vita ni mbaya lakini inapobidi vijana tutafanya ndio maana najiita "warthog gun" aka terminator sio kwa bahati mbaya ipo siku patapatikana pa kuanzia nazichukia mno tabia za Pombe aka mdindifu aka jiwe. Hivi anafikiri watangulizi wake walikua wajinga? Ole wake.
 
Kitendo wanachofanya sio kizuri kwa Nchi yenye watu wengi lolote linaweza kutokea tena wanafanya vitu wazi kabisa na Mungu anawaumbua kwa uwezo wao wa kufikiri na kuamua kurekodi wakisherehekea ushindi...
 
Upo sawa kabisa, shida vijana wengi wa leo vipao mbele vyetu ni hamisa mobeto na voice note za mganga au gigiy money na mo jay au dogo janja na airine uwoya, mambo ya siasa tunasema hayatuhusu!!

Ilimradi tuna vicomputer tunaweka nyimbo kwenye simu tupate bando lakusoma udaku na tumeruhusiwa kuchuuza bidhaa bila kulipa kodi kwa kuzitandika mpaka ofisi ya mkuuwa wilaya mengine hayatuhusu!!

Sasa hayo ya siasa usituambie we tuambie habari za kuvaa vijinzi vinaitwa kamatia chini, na mambo ya vikuku na nk!!!

Ilimradi tumeamka asubui tunapata hela yakula, basi inatosha!!! Uo uasi kaaanao, utakuwa wewe peke yako, naivi tumemaliza form four na zero zero hatuitaji hayo mambo!!!

Hiiinchi kati ya watu milioni 50 wenye uelewa ni milion 5 usitegemee unacho fikiri!!
njiti moja ya kibiriti...inachoma msitu mkubwa..tafakuri
 
Back
Top Bottom