Engineers wa CoET ndio wapo UN hukoUDSM chimbimbuko la 90% ya mainjinia Tanzania, hawajawahi hata kuchonga sahani ya bati au kudesign kitaanda cha mgonjwa
Engineers wa CoET ndio wapo UN hukoUDSM chimbimbuko la 90% ya mainjinia Tanzania, hawajawahi hata kuchonga sahani ya bati au kudesign kitaanda cha mgonjwa
Yule jamaa alikuwa mpuuzi sana. Hv yuko wp nikamtandike viboko🤣🤣🤣huku wengi wa mchongo
Kuna yule Dokta sijui Prof mroso aliyetuchonesha tukalipa bil kadhaa kwenye madini
Hata kizungu hajui🤣🤣😂
Ana ego wakati language, substance,confidence,pause Hana😂🤣
Kama ni kipanga hata ukiishia fomufoo ni kipanga🙏
Kala Maganda ana LLD sio PhD
mutu muzito anakaaje jalalani?Hiyo LLD ni muzito sana
Acha wivukuna jamaa alijua kilaza o-level yani kilaza kabisa, ila leo na yeye ana phD.
Nchi yakijanja sana hii, usipoelewa namna mambo inaenda huku utapata shida kidogo.
acha kuendekeza ujingaAcha wivu
Yuko kwake makongo juuYule jamaa alikuwa mpuuzi sana. Hv yuko wp nikamtandike viboko
Afu cha ajabu na yule aliyehojiwa u PHD wake na yeye akapotea.Kuna bwaana mmoja amewahi kuhoji PhD ya mtu kiongozi mmoja leo yule bwana ajulikani aliko
Profesa Majimarefu,Dr shokolokobangoshayo kutoka Sumbawanga.Waliokataa umande wanacheza na taaluma za watu🤣🤣🤣huku wengi wa mchongo
Kuna yule Dokta sijui Prof mroso aliyetuchonesha tukalipa bil kadhaa kwenye madini
Hata kizungu hajui🤣🤣😂
Ana ego wakati language, substance,confidence,pause Hana😂🤣
Kama ni kipanga hata ukiishia fomufoo ni kipanga🙏
Hii nchi bila kuwa na kiongozi Kichaa kichaa, mwehu mwehu,chizi chizi, na Muuwaji hatuwezi kusonga na ndiyo maana hata hao Ma- Dr wapo tu kazi yao ni kusifia sifia ujinga tu!
Nadhai Tukimpa nchi hii Mtu mwehu kama Bashite hao Ma-Dr watanyooka tu na wataifanya kazi iliyotukuka!
Ni umangimeza uchwara na ulimbukeni tu.Mkuu sikupingi, ila there's no need to address ourselves to everyone that we're doctors, professors etc, I really don't see the point.
Siku hizi utasikia "wakili msomi", hivi kuna wakili asiye msomi? Ma-engineer nao wanaanza kuja na swagger za kijinga saivi, same to cpa holders, yaani kila mtu anataka awe addressed kwa elimu yake, while the output of what they've achieved in class is barely noticed.