Nchi ya Madokta (Phd's) wengi bila faida

ingekuwa ni uwezo wangu, huo udokta na uprofessa ningeufutilia mbali hapa Tanzania. Kungekuwa na shahada au tuzo maalum ya kutambua mchango wa mtu kwa taifa letu. Kavumbua nini au kaanzisha kitu gani ambacho kimeleta mabadiliko chanya kwenye maisha ya watanzania au kimesaidia maisha ya watanzania katika maisha yao ya kila siku.

Madokta na maprofessa zaidi ya kuingia kwenye siasa au kubaki kuwa walimu wa huko vyuoni, hawana msaada wowote wa maana kwenye hili taifa.

Kwanza wao wenyewe wanasema wako jalalani.
 
huku wengi wa mchongo

Kuna yule Dokta sijui Prof mroso aliyetuchonesha tukalipa bil kadhaa kwenye madini
Hata kizungu hajui

Ana ego wakati language, substance,confidence,pause Hana

Kama ni kipanga hata ukiishia fomufoo ni kipanga

Nilipata aibu ,sijui alivyorudi amewaambia nn wananchi
 
Nchi inaongozwa na madokta lkn mpaka sasa wakulima wanatumia ndoo kuuzia mazao, wafugaji bado wanafuga kienyeji, hatujawahi kutengeneza hata simu?!
Wakulima wameamua iwe hivyo .....coz kuna trekta za kutosha

Kuhusu kutengeneza simu .....sio muhimu coz tunapata simu nzuri za bei che from china
 
"Hebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k."
Hawa wanaendesha dunia na uko kwao kuna madokta ulishawasikia
 
Hebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k.

Kama ni kwamba wenzetu hao hawana hata udokta wowote lkn wanai-run Dunia, sisi tulio na madokta wengi wasomi kuanzia ngazi ya tawi la chama, taasisi za serikali na sekta binafsi hadi kule ukanda wa bahari karibu na soko la samaki, tunafeli wapi lakini.

Hizo Phd's zenu ni za kwenye makaratasi au za kuchongesha tu?, nchi ina madokta na maprofesa wengi hawajawahi kuwa hata na uvumbuzi wa maana kusaidia nchi yao na wakipewa hata kuendesha taasisi zinawafia Ref. TTCL, ATCL, n.k.

Nchi ina mainjinia wengi lkn hawajawahi kuunda hata gari ndogo km STARLET ikaingia barabarani, kazi zao ni kudesign ramani za majengo tena ile copy & paste mtandaoni huko na hapo ndipo uinjinia wao unaishia.

Tuwekane sawa bhana...

Acha nongwa soma na wewe upate yako, kwani ulishindwa nini kusoma au kuchongesha PhD yako? Ni kwa vile tu huna. Tafuta mkate wakowa kila siku kudiscuss PhD za wanaume wenzako ni dalili mbaya.
 
Acha nongwa soma na wewe upate yako, kwani ulishindwa nini kusoma au kuchongesha PhD yako? Ni kwa vile tu huna. Tafuta mkate wakowa kila siku kudiscuss PhD za wanaume wenzako ni dalili mbaya.
Povu la Nini! Nafikiri hujamwelewa.Kama wewe ni Dr huu Uzi ukuamshe kufanya mambo yatakayotatua changamoto kwenye jamii Yako.Wengi tunasoma Huo Udaktari tukafundishe vyuo vikuu basi hakuna la zaidi hasa kutokana na ufinyu wa bajeti.
 
🤣🤣🤣huku wengi wa mchongo

Kuna yule Dokta sijui Prof mroso aliyetuchonesha tukalipa bil kadhaa kwenye madini
Hata kizungu hajui🤣🤣😂

Ana ego wakati language, substance,confidence,pause Hana😂🤣

Kama ni kipanga hata ukiishia fomufoo ni kipanga🙏
Walioishia fom wamependezwa na mchongo huu
 
"Hebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k."
Hawa wanaendesha dunia na uko kwao kuna madokta ulishawasikia
Hao madokta wa kule wanalingana na wetu hawa?,
 
Acha nongwa soma na wewe upate yako, kwani ulishindwa nini kusoma au kuchongesha PhD yako? Ni kwa vile tu huna. Tafuta mkate wakowa kila siku kudiscuss PhD za wanaume wenzako ni dalili mbaya.
Sina cha kukujibu mzee baba, nikikujibu itaonekana najipa sifa
 
Nchi ina mainjinia wengi lkn hawajawahi kuunda hata gari ndogo km STARLET ikaingia barabarani, kazi zao ni kudesign ramani za majengo tena ile copy & paste mtandaoni huko na hapo ndipo uinjinia wao unaishia.
UDSM chimbimbuko la 90% ya mainjinia Tanzania, hawajawahi hata kuchonga sahani ya bati au kudesign kitaanda cha mgonjwa
 
Okey. We ulitaka wafanane kivip yaan labda mi sijakuelewa
Hii nchi ina matatizo kiasi gani ambayo yanaweza kutatuliwa na hawa wasomi wetu wengi wanaojiita madokta kupitia elimu zao?
 
Alafu kuna wimbi kubwa la walimu wasio na uwezo huko vyuoni ,kigezo ni GPA kubwa lkn ukimwangalia uyo mwalimu uwezo wake ni mdogo sana,sasa tutegmee mwanafunzi wa uyu mwalimu atakuaje?nchi hii inaangamia kwasababu hatutaku mabadiliko kwenye sekta nyingi mfano mzuri ni sekta hii ya Elimu ni majanga matupu.
Wewe muangalie Dr tulia maneno anayeyaongea alafu piga mahesabu wanafunzi wake aliowafundisha watakuwaje huko uraiani..
 
Back
Top Bottom