Nchi ya Israel ina sera gani kuhusu mtu mweusi kiujumla?

Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi?

Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje?

Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi?

Nawasilisha
Sera ya mtu mweusi ipoje mkuu
 
Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi?

Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje?

Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi?

Nawasilisha
Waziri Mkuu wao aliwahi kusema "Ngozi nyeusi ni kama Kansa, ikiingia inatakiwa kukatwa haraka sana kabla haijasambaa"

Tafakari, Chukua hatua.
 
Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi?

Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje?

Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi?

Nawasilisha
mtu mweusi kule ana maisha mazuri sana maana wale falashas kutoka Ethiopia wapo na hali ya juu kimaisha.wengi wa falashas ni mapolisi, marubani, lawyers na madaktari. kumbuka walipoingia Israel kutoka ethiopia walikuwa wachafu wachafu, hufunga lubega, hawajui kusoma wala kuandika na kuabudu matibabu ya kienyeji. sasa hivi ukikuta demu wa kifalashas pale jijini tel aviv unatamani uongeaa naye upende usipende.
 
Wangapi wanaletwa maiti??

Wangapi wanafungwa kwenye miti unafhani hatuna habari eeeh

We mkimbizi unatetea litumbo lako
 
Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi?

Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje?

Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi?

Nawasilisha
mtu mweusi huko iran, Iraq, Libya na saudia hana raha kabisaa.mtu mweusi aliyevuma misri ni beki namba mbili wa Al Ahly mwaka 1982 Rabia Yasin tuu , utadhania hakuna watu weusi. Huko Libya na Iraq ndo kabisaa hata udiwani hawaupati.nashangaa kwa nini Somali, Sudan,mali,senegal ni wanachama wa Aab League!
 
Kwa mjibu wa hadithi za kiyahudi zinasema mtu mweusi
1. Alilaaniwa toka k2a Hamu na macho yake kutokeza nje kwa sababu ya kuangalia uchi wa mzazi wake.
Ndio maana ngozi yake ikawa nyeusi.
2. Myahudi si mbaguzi tu wa weusi na yeyote asiye myahudi.
Si wepesi kukuattack isipokuwa itakapokuwa lazima kujihami .
Kwa ajili ya diplomasia za kidunia hawaoneshi dharau
 
Back
Top Bottom