Nchi inasherehekea Pasaka kama msiba, hakuna shamrashamra!

Nchi inasherehekea Pasaka kama msiba, hakuna shamrashamra!

WALIZOEA KUIBA SERIKALINI NA KUUZA UNGA NA WAFANYABIASHARA KULETA MAKONTAINA BILA USHURU HELA NYINGI ZILIKUWA ZA HARAMU NDIO MAANA WATU WALIZITUMIA OVYO KWENYE SIKUKUU
Alisikika mlevi mmoja akiongea hivyo
 
Huku kwetu shamra shamra zipo kama kawa.
 
WALIZOEA KUIBA SERIKALINI NA KUUZA UNGA NA WAFANYABIASHARA KULETA MAKONTAINA BILA USHURU HELA NYINGI ZILIKUWA ZA HARAMU NDIO MAANA WATU WALIZITUMIA OVYO KWENYE SIKUKUU

Acha Mawazo Mgando wewe ,fanya Kazi upate Pesa ,

Siyo kuona kila Mtu anapata Pesa haramu,jishughulishe acha uzembe.
 
Siku hizi kusanyiko lolote linahitaji kibali... sasa nyie jikusanyeni ati kwa kisingizio kwamba mnasheherekea sikukuu ya Pasaka...

Alafu pia tunabana matumizi...

Cc: mahondaw
 
Siku hizi kusanyiko lolote linahitaji kibali... sasa nyie jikusanyeni ati kwa kisingizio kwamba mnasheherekea sikukuu ya Pasaka...

Alafu pia tunabana matumizi...

Cc: mahondaw
Tunaelekea kuwa kama Korea Kaskazini.
Kuishi kwa.
Kumtukuza Mfalme
Na Kucheza Gwaride
 
Nchi ndiyo nani? Maneno ya kike kike tu!!!! Wewe kama huna shamra shamra shauri yako
 
Mkuu nadhani inategemeana sehemu na sehemu jana kuna jamaa waliniomba niwasindikiza club moja maarufu mjini Mbeya nilichokikuta mule ndani ni kufuru aisee watu wamechafua meza sijapata kuona nikajisemea ankali akipita hapa akaona hii hali lazima anune.
 
Pasaka sio Sikukuu ya shamra shamra za kihivyo kufuatia kipindi cha Kwaresma. Sikukuu yenyewe ni kesho hivyo shamra shamra zitakuwepo ila fungu la kufanya matangazo ndilo limepungua.

Ni kweli pesa imekuwa ngumu, jana nimepita pale Mlimani City watu ni wengi, foleni za kulipa ni ndefu, na jioni Samaki Samaki pamefunga kama kawa.
P.
JF ni dunia ya kipekee
 
Miaka michache iliyopita kipindi cha pasaka kilikuwa na shamra shamra,
Watu walifanya manunuzi,matangazo ya bendi kufanya matamasha,wasanii,hoteli kuwa na special events,na mambo kama hayo!

Mwaka huu ni kama tuko msibani,,,kila familia iko kimya,imejiinamia,wafanyabiashara walizoea kuuza,sasa wananchi wanayapita MADUKA hawafanyi manunuzi

Kuna jambo haliko sawa
Peke yakoo Sisi tunashereheka kama kawa.
 
Back
Top Bottom