Nchi inasherehekea Pasaka kama msiba, hakuna shamrashamra!

Miaka michache iliyopita kipindi cha pasaka kilikuwa na shamra shamra,
Watu walifanya manunuzi,matangazo ya bendi kufanya matamasha,wasanii,hoteli kuwa na special events,na mambo kama hayo!

Mwaka huu ni kama tuko msibani,,,kila familia iko kimya,imejiinamia,wafanyabiashara walizoea kuuza,sasa wananchi wanayapita MADUKA hawafanyi manunuzi

Kuna jambo haliko sawa
Labda huko kijijini kwenu.
 
Kinembe unapoangalia nchi unaangalia wapi au akina nani? Mbona mi nasheherekea kwa shamra shamra? Acheni tabia za kike kulalamika lalamika.... Tafuten pesa hamna nyamazeni au zungumzien mambo ya maana. Kusheherekea ni suala la mtu binafsi...mimi nachinja mbuzi wawili wachomwe hapa home na nimealika jmaa zangu ambao wamekubali bila shida
Mkuu hawa ni wale madalali waliokuwa wakishinda vijiwe vya waiza kahawa kusubiri hela za bila jasho.
Au kundi fulani la walioumia na mfumo wa JPM na sasa kuelekea 2020 wao wako kazini.

Achana nao brother pasaka njema[emoji943]
 
Mkuu maccavelli
mwendo wa mchaka mchaka, mwendo mdundo kufumba kufumbua, December mwaka umekata!.
P
Pascal Mayalla maisha ni yale yale. Niseme kwa watanzania asilimia 90 maisha ni yale yale kama zilivyokuwa awamu nyingine. Waliopigika ni wale wajanja wa mjinikama akina nyie mliokuwa ''mnaokota'' fedha wakati wa Kikwete. Na wanasiasa pia nao wameathirika. Na mna kelele balaa! Utadhani Tanzania inakwenda kuwaka moto kesho!
 
WALIZOEA KUIBA SERIKALINI NA KUUZA UNGA NA WAFANYABIASHARA KULETA MAKONTAINA BILA USHURU HELA NYINGI ZILIKUWA ZA HARAMU NDIO MAANA WATU WALIZITUMIA OVYO KWENYE SIKUKUU
Soma report zilizopewa Mjengoni....
 
Mara kwa Mara Sikh hizi sherehe nyingi zinafanyika Ikulu na Rais kuhutubia lakini ukifuatilia vizuri utaona ni yeye tu mwenye furaha, waalikwa wote wanakuwa kama msibani, vivyo hivyo wateuliwa wake ndo pekee nchi nzima wanakuwa na furaha wakihutubia. Lugha ya mwili inathibitishi hili.
Na yeye naamini anaigiza furaha ili shooting iwe poa, si unajua mbele ya waandishi hakuna kinachoshindikana.
 
Miaka michache iliyopita kipindi cha pasaka kilikuwa na shamra shamra,
Watu walifanya manunuzi,matangazo ya bendi kufanya matamasha,wasanii,hoteli kuwa na special events,na mambo kama hayo!

Mwaka huu ni kama tuko msibani,,,kila familia iko kimya,imejiinamia,wafanyabiashara walizoea kuuza,sasa wananchi wanayapita MADUKA hawafanyi manunuzi

Kuna jambo haliko sawa
Starehe sasa basi,fanya kazi kwa bidii uongeze kipato,sikukuu ni wakati wowote ukijisikia
 
Msiishi kwa mazoea,hivi ni yapi yalikuwa maisha mazuri na ya haki ya awamu hii au zilizopita???

Huko nyuma mlilalamika na leo tena mnalalamika,which is which???

Sasa hivi kuna maisha ya haki?
 
Mbona kama unalazimisha kuwasemea watanzania, jisemee wewe.. maisha ni yaleyale kwako tangu awamu zote kama mazuri sawa mabaya sawa but usi conclude kuwa kila mmoja anaishi kama awamu zilizopita.
Pascal Mayalla maisha ni yale yale. Niseme kwa watanzania asilimia 90 maisha ni yale yale kama zilivyokuwa awamu nyingine. Waliopigika ni wale wajanja wa mjinikama akina nyie mliokuwa ''mnaokota'' fedha wakati wa Kikwete. Na wanasiasa pia nao wameathirika. Na mna kelele balaa! Utadhani Tanzania inakwenda kuwaka moto kesho!
 
Miaka michache iliyopita kipindi cha pasaka kilikuwa na shamra shamra,
Watu walifanya manunuzi,matangazo ya bendi kufanya matamasha,wasanii,hoteli kuwa na special events,na mambo kama hayo!

Mwaka huu ni kama tuko msibani,,,kila familia iko kimya,imejiinamia,wafanyabiashara walizoea kuuza,sasa wananchi wanayapita MADUKA hawafanyi manunuzi

Kuna jambo haliko sawa
hivi unaanzaje kuwa na furaha kwa awamu hii ya kishetani....

mbunge mmoja anasema siooo....alafu inatokea K moja inasema kashinda..
FURAHA NA SHAMRASHAMRA ITOKE WAPI!??
 
1545045139945867137.jpg

za kunywa zikose,hata za kuvaa asee?,em fanyeni kunichangia wakuu elfu 70 tu

Na ww upo age hii ya kuvaa hv kumbe😂😂😂
 
Kinembe unapoangalia nchi unaangalia wapi au akina nani? Mbona mi nasheherekea kwa shamra shamra? Acheni tabia za kike kulalamika lalamika.... Tafuten pesa hamna nyamazeni au zungumzien mambo ya maana. Kusheherekea ni suala la mtu binafsi...mimi nachinja mbuzi wawili wachomwe hapa home na nimealika jmaa zangu ambao wamekubali bila shida
Ironic
 
Kuna watu duniani wanaitwa mapandikizi au sleep cells hawa wanatumika kwa mikakati fulani fulani
Labda na haya mambo ya dini ndio kwaheri na yatakuwa thing of the past
 
We upo wapi, watu wanafanya shopping kama kawaida

Back
Top Bottom