124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,812
- 5,522
Kwa hiyo watanzania karibia wote ni wauza unga wafanyabiashara wqkubwq waingizao makontena bila ushuru? Kwa zako akili hao watu uliowazungumzia unadhan shoping yao ni kariakoo na tandale?so despicable so pathetic !WALIZOEA KUIBA SERIKALINI NA KUUZA UNGA NA WAFANYABIASHARA KULETA MAKONTAINA BILA USHURU HELA NYINGI ZILIKUWA ZA HARAMU NDIO MAANA WATU WALIZITUMIA OVYO KWENYE SIKUKUU