Natamam ufafanue zaidi vilaza tupate mwanga
Hawa watu wapo na wanaandaliwa na mipango husukwa hata miaka 50 au zaidi kuwa jambo fulani litafanyika.
Kwa mfano nchi kama UK wameanza utaratibu wa kuwafundisha somo la kujua ushoga kuanzia umri wa miaka 3 na shule zote wanafundisha sasa.
Dini huku Ulaya hakuna tena waumini wanaoenda kanisani ni kwa ubatizo, ndoa na kifo tu
Hapo utajua ni mikakati iliyotengenezwa hata David Cameron alipopitisha muswada wa gay aliamrishwa
Donald Trump anapofungua Ubalozi Jerusalem sio kwa mapenzi yake hasha bali ni mkakati ulioandaliwa miaka mingi iliyopita yeye anatekeleza tu
Kwanza ni mjerumani
Hapo Israeli hakuna mapenzi ya dini hapana bali ni maslahi ya biashara kubwa na Golan heights kuna mafuta mengi sana.
Tel Aviv leo mji unaongoza kwa wasenge duniani na sherehe zinafanyika kila mwaka
Huu nao ni mkakati ulioandaliwa.
Hivi karibuni tumeona Notre dame cathedral likiteketea kwa moto na dunia nzima ilijua lakini hawajali kuhusu dini yao bali hela za utalii
Maana kama ni dini siku hiyo hiyo msikiti mkubwa wa 3 duniani Al Aqsa uliwaka moto pia the same day lakini hakuna aliejali maana dunia ilikuwa eleysee
Kwa hiyo hao mapandikizi wapo kila sehemu duniani na wapo waliopandikizwa na zipo nchi ndio sera zao hizo kwa kusambaratisha dini zote kwani hata China misikiti mingi sana imevunjwa na waislam wengi wako jela na wengine kuuwawa
Na hiyo ni mikakati pia
Kuna mengi sana yanaendelea duniani ila naona niishie hapa kuna nyama nimenunua nataka kuchoma leo mishkaki maana jua limetoka hapa leo