Nchi inasherehekea Pasaka kama msiba, hakuna shamrashamra!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,725
Reaction score
31,307
Miaka michache iliyopita kipindi cha pasaka kilikuwa na shamra shamra,
Watu walifanya manunuzi,matangazo ya bendi kufanya matamasha,wasanii,hoteli kuwa na special events,na mambo kama hayo!

Mwaka huu ni kama tuko msibani,,,kila familia iko kimya,imejiinamia,wafanyabiashara walizoea kuuza,sasa wananchi wanayapita MADUKA hawafanyi manunuzi

Kuna jambo haliko sawa
 
Pasaka sio Sikukuu ya shamra shamra za kihivyo kufuatia kipindi cha Kwaresma. Sikukuu yenyewe ni kesho hivyo shamra shamra zitakuwepo ila fungu la kufanya matangazo ndilo limepungua.

Ni kweli pesa imekuwa ngumu, ila ni kwa wengine, na kuna wengine kila siku ni Sikukuu, jana nimepita pale Mlimani City watu ni wengi, foleni za kulipa ni ndefu, na jioni Samaki Samaki pamefunga kama kawa.
P.
 
Miaka michache iliyopita kipindi cha pasaka kilikuwa na shamra shamra,
Watu walifanya manunuzi,matangazo ya bendi kufanya matamasha,wasanii,hoteli kuwa na special events,na mambo kama hayo!

Mwaka huu ni kama tuko msibani,,,kila familia iko kimya,imejiinamia,wafanyabiashara walizoea kuuza,sasa wananchi wanayapita MADUKA hawafanyi manunuzi

Kuna jambo haliko sawa

WALIZOEA KUIBA SERIKALINI NA KUUZA UNGA NA WAFANYABIASHARA KULETA MAKONTAINA BILA USHURU HELA NYINGI ZILIKUWA ZA HARAMU NDIO MAANA WATU WALIZITUMIA OVYO KWENYE SIKUKUU
 
Pasaka sio Sikukuu ya shamra shamra za kihivyo kufuatia kipindi cha Kwaresma. Sikukuu yenyewe ni kesho hivyo shamra shamra zitakuwepo ila fungu la kufanya matangazo ndilo limepungua.

Ni kweli pesa imekuwa ngumu, jana nimepita pale Mlimani City watu ni wengi, foleni za kulipa ni ndefu, na jioni Samaki Samaki pamefunga kama kawa.
P.
Kumbe Pasaka ni kesho? Dah maisha yanakimbia sana.
 
1545045139945867137.jpg

za kunywa zikose,hata za kuvaa asee?,em fanyeni kunichangia wakuu elfu 70 tu
 
Miaka michache iliyopita kipindi cha pasaka kilikuwa na shamra shamra,
Watu walifanya manunuzi,matangazo ya bendi kufanya matamasha,wasanii,hoteli kuwa na special events,na mambo kama hayo!
Mwaka huu ni kama tuko msibani,,,kila familia iko kimya,imejiinamia,wafanyabiashara walizoea kuuza,sasa wananchi wanayapita MADUKA hawafanyi manunuzi
Kuna jambo haliko sawa

Don't worry, we are on the right track!
 
Miaka michache iliyopita kipindi cha pasaka kilikuwa na shamra shamra,
Watu walifanya manunuzi,matangazo ya bendi kufanya matamasha,wasanii,hoteli kuwa na special events,na mambo kama hayo!

Mwaka huu ni kama tuko msibani,,,kila familia iko kimya,imejiinamia,wafanyabiashara walizoea kuuza,sasa wananchi wanayapita MADUKA hawafanyi manunuzi

Kuna jambo haliko sawa
Mara kwa Mara Sikh hizi sherehe nyingi zinafanyika Ikulu na Rais kuhutubia lakini ukifuatilia vizuri utaona ni yeye tu mwenye furaha, waalikwa wote wanakuwa kama msibani, vivyo hivyo wateuliwa wake ndo pekee nchi nzima wanakuwa na furaha wakihutubia. Lugha ya mwili inathibitishi hili.
 
Miaka michache iliyopita kipindi cha pasaka kilikuwa na shamra shamra,
Watu walifanya manunuzi,matangazo ya bendi kufanya matamasha,wasanii,hoteli kuwa na special events,na mambo kama hayo!

Mwaka huu ni kama tuko msibani,,,kila familia iko kimya,imejiinamia,wafanyabiashara walizoea kuuza,sasa wananchi wanayapita MADUKA hawafanyi manunuzi

Kuna jambo haliko sawa
Msiishi kwa mazoea,hivi ni yapi yalikuwa maisha mazuri na ya haki ya awamu hii au zilizopita???

Huko nyuma mlilalamika na leo tena mnalalamika,which is which???
 
Back
Top Bottom