Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena.
Lazima tujiulize mpaka sasa ni wangapi wametekwa ni wangapi wame uwawa kikatili ni wangapi wamenyimwa haki zao, ni wangapi wapo gerezani kwa kesi ambazo kila mtu anajua ni za uongo ?
aisee mapambano ya kuondoa makundi haya yata tugharimu sana ndio maana ninasema hatupaswi kuwa na viongozi wajinga tunapaswa kutengeneza mifumo imara na yenye nguvu ikiwemo katiba ya nchi.