Nchi inapaa, kelele lazima zitasikika tu, mitano tena

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Tuliokuwepo tangu awamu ya kwanza tunafahamu kwanini kelele za huyooo huyooo, mchinjeee mchinjeee zinasikika kwa wingi. Nchi imepaa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii unexpected.

Ukiona nchi inapaa kwa kutumia vyanzo na rasilimali zilezile walizonazo awamu nyingine maana yake Kuna mirija ya zamani imefungwa na mingine mipya imefunguliwa.

Mirija iliyofungwa ndio chanzo kikuu cha kelele zinazosikika. Aina na ukubwa wa kilele hizo utategemea upana na urefu wa mirija iliyofungwa na watu na idadi yao waliokuwa wanategemea mirija hiyo.

Kumalizia mamiradi yote ambayo aliianziaha marehemu Magufuli kwa wakati na kuanzisha na kumaliza mingine was unexpected kwa mwanagenzi tena mwanamke tena muislamu tena mzanzibar.

Wote tunafahamu kelele zinazosikika Zina ukubwa Gani, ni za aina Gani, ni za akina nani, zinatokea upande gani na Zina harufu Gani.

Wamekwama, Sasa wanataka kuwachochoe askari ili wafanye jambo, maana wao wameshindwa na kukwama kwakuwa wananchi hawawaelewi.

Tunafahamu na tunawajuwa, songa mbeleen tuko nyuma yako kwa kukuwa tunawajuwa. Ukishajua jina la mbwa wao nusu ya kazi imekwisha. Bandari ndilo lililokuwa rija lao kuu kupita mamirija yao yooote, umeliziba ndindindi.
 
Nchi inapaa kuelekea chini
Taja nchi ya Afrika ambayo Ina mtandao mkubwa wa umeme, maji, shule, zahanati, barabara za lami, scheme za umwagili. train ya umeme, madaraja marefu na wakimbizi walioikimbia vita kwao.

Punguzeni kama sio kuacha uhuni
 
Haya ndugu, hakuna nchi yenye unayosema ni Tanzania tu
 
Hoja ujibiwa kwa hoja TU na singinevyo.Peleka moto dk.gwajima mpk wakimbie.
Kaz ni kipimo cha utu
Gwajima hana issue, anakoleza tu zile kelele za huyooo huyooo mchinjeee mchinjeee ili mirija yao irudishwe
 
Haya ndugu, hakuna nchi yenye unayosema ni Tanzania tu
Excellent!!! Hata wachezaji wa kigeni hawapendi kuondoka Tanzania hata kama mikataba yao imemalizika, unadhani wao ni wapumbavu? Muulizeni Morrison, Tambwe , zahera nk kulikoni?
 
Taja nchi ya Afrika ambayo Ina mtandao mkubwa wa umeme, maji, shule, zahanati, barabara za lami, scheme za umwagili. train ya umeme, madaraja marefu na wakimbizi walioikimbia vita kwao.

Punguzeni kama sio kuacha uhuni
Acha kuongopa ndugu,Kwa rasilimali tulizonazo tulipaswa kuwa mbali sana.Nyie ndiyo muache uhuni.
 
Tuliokuwepo tangu awamu ya kwanza tunafahamu kwanini kelele za huyooo huyooo, mchinjeee mchinjeee zinasikika kwa wingi. Nchi imepaa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii unexpected.

Ukiona nchi inapaa kwa kutumia vyanzo na rasilimali zilezile walizonazo awamu nyingine maana yake Kuna mirija ya zamani imefungwa na mingine mipya imefunguliwa.

Mirija iliyofungwa ndio chanzo kikuu cha kelele zinazosikika. Aina na ukubwa wa kilele hizo utategemea upana na urefu wa mirija iliyofungwa na watu na idadi yao waliokuwa wanategemea mirija hiyo.

Kumalizia mamiradi yote ambayo aliianziaha marehemu Magufuli kwa wakati na kuanzisha na kumaliza mingine was unexpected kwa mwanagenzi tena mwanamke tena muislamu tena mzanzibar.

Wote tunafahamu kelele zinazosikika Zina ukubwa Gani, ni za aina Gani, ni za akina nani, zinatokea upande gani na Zina harufu Gani.

Wamekwama, Sasa wanataka kuwachochoe askari ili wafanye jambo, maana wao wameshindwa na kukwama kwakuwa wananchi hawawaelewi.

Tunafahamu na tunawajuwa, songa mbeleen tuko nyuma yako kwa kukuwa tunawajuwa. Ukishajua jina la mbwa wao nusu ya kazi imekwisha. Bandari ndilo lililokuwa rija lao kuu kupita mamirija yao yooote, umeliziba ndindindi.
Tatizo la kukurupuka, south africa, misri zimewaacha mbali sana kwenye hayo mambo
Na hizo ninchache tu, rwanda anakuja kwa kasi mno

Level ambazo ambazo hizo nchi zipo kwa sasa ni wanatafuta tech advancement kurahisisha kazi

Wakati tz bado haina shule za kuelewe maeneo yote, bado inahangaika na vyoo, bado huduma za afya hazijafika kote.

Njoo na facts ,ujibiwe kwa facts
 
Kuna mawili nayaona kwako. Either wewe ni kipofu huoni yanayoendelea au ni kiziwi
 
Taja nchi ya Afrika ambayo Ina mtandao mkubwa wa umeme, maji, shule, zahanati, barabara za lami, scheme za umwagili. train ya umeme, madaraja marefu na wakimbizi walioikimbia vita kwao.

Punguzeni kama sio kuacha uhuni
Nigeria. Morocco, Kenya, SA, Namibia n.k. Kupokea wakimbizi ni kutokana na kutokuwa na amani nchi za jirani tunazopakana nao.
 
Acha kuongopa ndugu,Kwa rasilimali tulizonazo tulipaswa kuwa mbali sana.Nyie ndiyo muache uhuni.
Unadhani Tanzania ndiyo tu yenye rasilimali nyingi A
Tatizo la kukurupuka, south africa, misri zimewaacha mbali sana kwenye hayo mambo
Na hizo ninchache tu, rwanda anakuja kwa kasi mno

Level ambazo ambazo hizo nchi zipo kwa sasa ni wanatafuta tech advancement kurahisisha kazi

Wakati tz bado haina shule za kuelewe maeneo yote, bado inahangaika na vyoo, bado huduma za afya hazijafika kote.

Njoo na facts ,ujibiwe kwa facts
Ni vema umezitaja Misri na South Africa kama kipimo cha Tanzania kwa mtandao wa huduma. Kuitaja Rwanda kwenye vipimo ni kuikosea heshima Tz. Maana bajeti yetu ya ulinzi inatisha kusambaza barabara Rwanda nzima.
 
Back
Top Bottom