Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,656
- 14,628
Hivi Tanzania tunauwezo wa kutengeza pacemakerNa siku hizi anavyokunja sura sijui kafundishwa na nani, au anajihami kwa nini hajiamini?
Ajitahidi atafute amani ya moyo wake mapema kabla hajaanza kushamvuliwa na magonjwa ya moyo.
