Angalia TAAHIRA huyu!!!! Hujui kama nchi nyingi za Afrika kuna Dikteta na madhalimu kama maccm ambayo ni majizi, mafisadi na wauaji? Sasa Madikteta ambayo yako madarakani ili KUJITAJIRISHA lini watawaza kueta maendeleo PUMBAVU wewe!!! Afrika hakuna maendeleo lakini hujui sababu!!! Kwa hito kama Afrika hakuna maendeleo basi TUKLUBALI tu kwamba pamoja na Tanzania kuwa na UTAJIRI mkubwa rasilimali mbali mbali gesi, dhahabu, almasi, Tanzanet etc na mikopo na misaada toka nchi za Wafadhili na Mashirika ya Kimataifa kama SIDA, WB, IMF etc tukubali tu MEDIOCRE PERFOMANCE ya nchi iliyo huru kwa miaka 60 KUTOKUWA na maendeleo!!!! Hahahahahahah BONGO ZWAZWA!!!!