Nimekusoma mkuu sasa naanzaje kutoka hapa kuekekea bahama nipe mwelekeo mkuu..!Bahamas kuna meli nyingi mno za starehe kutoka USA
wale wanaotaka kwenda USA na visa hawana waanzie bahamas
ni dakika chache tu hadi USA
ipo ... Kosovo! Kuna wakati (miaka ya '90) hata UK tulikuwa tunaingia bila visa
Afrika ya kusini mbona haimo kwenye list au hii ni ya zamani?Mtu akisafiri ili kuweza kuingia katika nchi nyingine, mara nyingi huhitajika kutoa Visa pamoja na hati ya kusafiria (Passport). Lakini kuna baadhi ya nchi zinaweza kukuruhusu kuingia bila vitu hivyo ila zitakupa siku kadhaaa unazoweza kukaa nchini humo. Vilevile kuna nchi ambazo Watanzania wanahitaji passport tu kuingia.
Ifahamike kuwa,baadhi ya nchi hizi huruhusu mtu kuingia bila visa na kukaa hadi siku 90 ambazo utatakiwa uwe umepata visa yako au la utarudishwa kwenu. Zifuatazo ni nchi 73 ambazo Mtanzania anaweza kuingia bila visa.
Antigua & Barbuda
Albania
Armenia
Azerbaijan
British virgins Island
Barbados
Bangladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Island
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibout
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt
Fiji
Grenada
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong
Jamaica
Jordan
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon
Libya
Liberia
Macau
Malaysia
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Monserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar
Rwanda
Samoa
Suriname
St. Kitts & Nevis
St. Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe
Source: swahilitimes.
...na ndio vyenye fursa nyingi za kutoka kiuchumi...siyo ulaya na marekani kamuulize le mbebez...!Ni vinchi vya hovyo hovyo tuu
nimeiona iyo Albania najua ipo Europe nishatafuta kadem through Badoo sasa nazichanga tu nauli nimrukie fasta nikampe ujauzito
South Africa je?Mtu akisafiri ili kuweza kuingia katika nchi nyingine, mara nyingi huhitajika kutoa Visa pamoja na hati ya kusafiria (Passport). Lakini kuna baadhi ya nchi zinaweza kukuruhusu kuingia bila vitu hivyo ila zitakupa siku kadhaaa unazoweza kukaa nchini humo. Vilevile kuna nchi ambazo Watanzania wanahitaji passport tu kuingia.
Ifahamike kuwa,baadhi ya nchi hizi huruhusu mtu kuingia bila visa na kukaa hadi siku 90 ambazo utatakiwa uwe umepata visa yako au la utarudishwa kwenu. Zifuatazo ni nchi 73 ambazo Mtanzania anaweza kuingia bila visa.
Antigua & Barbuda
Albania
Armenia
Azerbaijan
British virgins Island
Barbados
Bangladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Island
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibout
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt
Fiji
Grenada
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong
Jamaica
Jordan
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon
Libya
Liberia
Macau
Malaysia
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Monserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar
Rwanda
Samoa
Suriname
St. Kitts & Nevis
St. Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe
Source: swahilitimes.
uko sahihi mkuu.Ethiopia sio kweli mkuu, ni lazima uwe na visa. Na kama unahudhuria mkutano ndio utaipata on arrival ikiwa tu jina lako litakuwa limepelekwa pale Airport in advance. Na charge yake ni dola 50 kwa visa
KOSOVO kunq kibarua cha ulinzi shirikishiTuhimizane kutoka na kwenda kutafuta nchi zingine
kusafiri ni sawa na kwenda shule
na hivi now Magufuli anabana kila upande....hii inakuwa muhimu zaidi
baada ya kuorodhesha nchi hizo tuanze na kutoa matangazo ya kazi katika nchi hizo
na fursa zingine
Ila tunaishi kwa raha na kipato kizuri huku barbadoaNi vinchi vya hovyo hovyo tuu
Iko bara gani hii mkuu