Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,469
Jaluo_Nyeupe umenikumbusha mbali sana yule kichaa aliyekua anajiita "Jaluo Moja Bomba Jeusi"
Hiyo ni state au?mbona umeisahau Monduli?
Hawataki msongamano.vipi Ulaya hakuna nchi hata moja kuingia bila yai
Nitake radhi kunifananisha na vichaa.Jaluo_Nyeupe umenikumbusha mbali sana yule kichaa aliyekua anajiita "Jaluo Moja Bomba Jeusi"
Itabidi kufanyia kazi huu ushauri.Bahamas kuna meli nyingi mno za starehe kutoka USA
wale wanaotaka kwenda USA na visa hawana waanzie bahamas
ni dakika chache tu hadi USA
Ni kweli mkuu.Umesahau kuiweka South Africa
Ipi hiyo? Raia si mnakuwa mnafahamiana wote?Kwenye hii list kuna kanchi kana Population ya watu 32,000 tu (Thelathini na mbili elfu)
Uko sawa kabisa. Moja ya ndoto zangu ni kutokuzeeka bila kwenda nchi mojawapo za majuu. Passport yangu iko plain kabisa imejaa mihuri ya east africa countries tu.Tuhimizane kutoka na kwenda kutafuta nchi zingine
kusafiri ni sawa na kwenda shule
na hivi now Magufuli anabana kila upande....hii inakuwa muhimu zaidi
baada ya kuorodhesha nchi hizo tuanze na kutoa matangazo ya kazi katika nchi hizo
na fursa zingine
mbona umeisahau Monduli?
Ni kweli South Africa kama mtu anaenda kwa siku zisizozidi 90 hahitaji vizaUmesahau kuiweka South Africa