kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,882
Unastahili "likes" kadhaa mkuuTuhimizane kutoka na kwenda kutafuta nchi zingine
kusafiri ni sawa na kwenda shule
na hivi now Magufuli anabana kila upande....hii inakuwa muhimu zaidi
baada ya kuorodhesha nchi hizo tuanze na kutoa matangazo ya kazi katika nchi hizo
na fursa zingine