kunautaratibu wa kila nchi katika kuruhusu wageni kuingia nchini mwao. Nchi zote duniani huitaji visa itakayokupa ruhusa wewe kukaa nchini mwao kwa kipindi utakachokuwa umepewa.
Lakini kutokana na urafiki na makubaliano ambayo huwa yanafanywa na baadhi ya nchi juu ya uhuru wa kutembeleana kwa watu wao, huwa wanaamua kutoa kikwazo cha visa na hivyo kururhusu watu wao kutembeleana pasipokuwa na visa.
Tanzania inajumla ya nchi 76 ambazo mtanzania anaweza kutembelea pasipokuwa na visa ya kumuwezesha kuingia ndani ya nchi hizo.
Baadhi ya nchi hizo ni Albania, Cook Islands, Djbouti, Dominica, Ethiopia, Ecuador, Fiji, Grenada, Gambia, Georgia, Haiti, Nepal, Namibia, St Lucia, Singapore, Seychelles, Swaziland, Tuvalu, Togo, Trinidad & Tobago, Timor-Leste, Uganda, Vanuatu, Zambia, Zimbabwe
Mi nimeingia hongkong zaidi ya mara kumi nilisimamishwa siku ya kwanza tu niliyoingia basi na kwakua naingia kibiashara nikikaa sana wiki 2 naondoka so kila nikirudi wakitizama passport yangu sijawahi kukaa mwezi na wananipa visa miezi mitatu ndio maana sisumbuliwe na wale watu wa migration wazuri kwa kukusoma akikutizama akikuona hujiamini umewekwa pembeni ndio hapo wanakutwa wauza unga wanakutwa wale wa kwenda kugeuza visa china maana kunawatanzania pale wanakaa miezi karibu yote mitatu then anaenda kugeuza visa china sasa hao wakikuona mara mbili tatu wakati mwingine ndio wanakudundisha maana wanakuona mbangaizaji tu huna shughuli huwo ndio uzoefu wangu wa hongkong na wengine yanawakuta ya kutojua lugha sasa unahojiwa kingereza huna lakujibu kesho wanakurudisha kwenu lakini ukiwa unajiamini na unajua kilichokupelekahurudishwi hataMfano mwingine nakupa Hongkong pass ya Tz ni Kama kushika Sumu kwani inachunguzwa hakuna Mfano, hii imetokana na Uzembe wa Ubalozi wa Tz China kuwaacha Wachina wafanye watakavyo pasipo kuhoji chochote kama Nchi zingine huwa hawakubali Raia wao kutaabika Viwanjani.
Wewe kama mkorofi ndio hongkong patakushinda hamna sehemu peace kama hongkong tembea hata na dolla laki 2 hamna atakae kuibia i knw hongkong sanaaa ...jambo la kwanza hongkong hamna kazi sio ujitokee bongo eti nikatafute kazi never kazi kwa wananchi wao ty mpaka matahira wanapewa kazi hata ya kufungua lift .sasa watanzania pale wengi wabangaizaji wafanya biashara unawahesabu na si wakaaji watanzania kibao wamejipa ukimbizi pale na ukikutwa visa imeisha pale unafungwa kama miezi 6 ivi then wanakuachia hata kwenu hurudishwi unakua mtaani tu na kila mwisho wa mwezi wanawapa vyakula sasa utaishi vipi akili kumkichwaMfano mwingine nakupa Hongkong pass ya Tz ni Kama kushika Sumu kwani inachunguzwa hakuna Mfano, hii imetokana na Uzembe wa Ubalozi wa Tz China kuwaacha Wachina wafanye watakavyo pasipo kuhoji chochote kama Nchi zingine huwa hawakubali Raia wao kutaabika Viwanjani.
Kiusahihi ni nchi zote za SADC na Afrika Mashariki na ulizotaja
South africa unaita takataka??? Ukapimwe akili kwa sababu nchi nyingi za ulaya wanaieshimu kwa maendeleo yake.
Pole sana.Umenisikitisha na kauli yako!
pamoja hizo ni fursa nimewapa,mjitahidi sasa kusafisha machoangalau mara moja kwa mwaka pia kuna fursa za kibiashara kwa baadhi ya nchi hapo
Poti ahsante na kwako pia. Nipo tu ni majukumu tu ya hapa na pale. Nikutakie kila la kheri mkuu katika mwaka huu mpya. Pamoja sana mkuu.
......BHULULU poti umepotea sana ...Heri ya Mwaka mpya!!!
Mi nimeingia hongkong zaidi ya mara kumi nilisimamishwa siku ya kwanza tu niliyoingia basi na kwakua naingia kibiashara nikikaa sana wiki 2 naondoka so kila nikirudi wakitizama passport yangu sijawahi kukaa mwezi na wananipa visa miezi mitatu ndio maana sisumbuliwe na wale watu wa migration wazuri kwa kukusoma akikutizama akikuona hujiamini umewekwa pembeni ndio hapo wanakutwa wauza unga wanakutwa wale wa kwenda kugeuza visa china maana kunawatanzania pale wanakaa miezi karibu yote mitatu then anaenda kugeuza visa china sasa hao wakikuona mara mbili tatu wakati mwingine ndio wanakudundisha maana wanakuona mbangaizaji tu huna shughuli huwo ndio uzoefu wangu wa hongkong na wengine yanawakuta ya kutojua lugha sasa unahojiwa kingereza huna lakujibu kesho wanakurudisha kwenu lakini ukiwa unajiamini na unajua kilichokupelekahurudishwi hata
vipi Ulaya hakuna nchi hata moja kuingia bila yaiMtu akisafiri ili kuweza kuingia katika nchi nyingine, mara nyingi huhitajika kutoa Visa pamoja na hati ya kusafiria (Passport). Lakini kuna baadhi ya nchi zinaweza kukuruhusu kuingia bila vitu hivyo ila zitakupa siku kadhaaa unazoweza kukaa nchini humo. Vilevile kuna nchi ambazo Watanzania wanahitaji passport tu kuingia.
Ifahamike kuwa,baadhi ya nchi hizi huruhusu mtu kuingia bila visa na kukaa hadi siku 90 ambazo utatakiwa uwe umepata visa yako au la utarudishwa kwenu. Zifuatazo ni nchi 73 ambazo Mtanzania anaweza kuingia bila visa.
Antigua & Barbuda
Albania
Armenia
Azerbaijan
British virgins Island
Barbados
Bangladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Island
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibout
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt
Fiji
Grenada
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong
Jamaica
Jordan
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon
Libya
Liberia
Macau
Malaysia
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Monserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar
Rwanda
Samoa
Suriname
St. Kitts & Nevis
St. Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe
Source: swahilitimes.