Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Mtu akisafiri ili kuweza kuingia katika nchi nyingine, mara nyingi huhitajika kutoa Visa pamoja na hati ya kusafiria (Passport). Lakini kuna baadhi ya nchi zinaweza kukuruhusu kuingia bila vitu hivyo ila zitakupa siku kadhaaa unazoweza kukaa nchini humo. Vilevile kuna nchi ambazo Watanzania wanahitaji passport tu kuingia.

Ifahamike kuwa,baadhi ya nchi hizi huruhusu mtu kuingia bila visa na kukaa hadi siku 90 ambazo utatakiwa uwe umepata visa yako au la utarudishwa kwenu. Zifuatazo ni nchi 73 ambazo Mtanzania anaweza kuingia bila visa.

Antigua & Barbuda
Albania
Armenia
Azerbaijan
British virgins Island
Barbados
Bangladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Island
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibout
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt
Fiji
Grenada
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong
Jamaica
Jordan
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon
Libya
Liberia
Macau
Malaysia
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Monserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar
Rwanda
Samoa
Suriname
St. Kitts & Nevis
St. Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe

Source: swahilitimes.
Hii orodha haijafanyiwa utafiti wa kutosha, wamekurupuka tu
Mfano Egypt lazima uwe na visa ndio uingie nchini mwao, tena unaweza omba visa na ukanyimwa pia
 
Mbona hakuna hata nchi ya maana hapo? Hata South Africa sijaiona
 
Kuna sehemu ni Ulaya huko panaitwa Estonia kuna fursa ya kumeza majambia kwa wale wapenda mazingaombwe
 
Mkuu umesahau South Africa. Nina uhakika hatuhitaji visa kwenda kule, binafsi nimeenda several times.
QUOTE="Jaluo_Nyeupe, post: 16295940, member: 33740"]Mtu akisafiri ili kuweza kuingia katika nchi nyingine, mara nyingi huhitajika kutoa Visa pamoja na hati ya kusafiria (Passport). Lakini kuna baadhi ya nchi zinaweza kukuruhusu kuingia bila vitu hivyo ila zitakupa siku kadhaaa unazoweza kukaa nchini humo. Vilevile kuna nchi ambazo Watanzania wanahitaji passport tu kuingia.

Ifahamike kuwa,baadhi ya nchi hizi huruhusu mtu kuingia bila visa na kukaa hadi siku 90 ambazo utatakiwa uwe umepata visa yako au la utarudishwa kwenu. Zifuatazo ni nchi 73 ambazo Mtanzania anaweza kuingia bila visa.

Antigua & Barbuda
Albania
Armenia
Azerbaijan
British virgins Island
Barbados
Bangladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Island
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibout
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt
Fiji
Grenada
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong
Jamaica
Jordan
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon
Libya
Liberia
Macau
Malaysia
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Monserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar
Rwanda
Samoa
Suriname
St. Kitts & Nevis
St. Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe

Source: swahilitimes.
[/QUOTE]

BAHAMAS si kwel
 
Back
Top Bottom