nina nchi sita
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 269
- 146
Mku mi labda cjaelewa yaani unakuwa tu na kale kapicha kadogo wanako kupiga kuishia mabegani na nauli ndio unadumbukia kwenye izo nchi au manake nipo tdm hapa
Mkuu kale kapicha kanakoishia mabegani kanafupishwa kwa kuitwa passport lakini kirefu chake ni passport size photo yaani picha yenye ukubwa unaohitajika katika hati ya kusafiria.Mku mi labda cjaelewa yaani unakuwa tu na kale kapicha kadogo wanako kupiga kuishia mabegani na nauli ndio unadumbukia kwenye izo nchi au manake nipo tdm hapa
Na Zanzibar umeisahau mkuuNi kweli mkuu.
ethiopia visa lazima ila kwa south africa hakuna visa mkuu.hii list haina ukweli sana..last yr nimeenda Addis Ethiopia na nilitakiwa kuwa na VISA..plse revisit the list and review accordingly...even South Africa visa lazima..
Toa Albania Na Armenia, nimehakikisha kwenye Immigration websites zao kuwa kama unatokea Africa Visa lazima!Wakuu nimeongeza South Africa ambayo ilisahaulika. Mwenye kufahamu nchi gani tuongeze au tutoe ili iwe msaada kwa sisi wenye ndoto za kuzamia nchi za watu.
nchi nyingi hapa ni ngeni kwangu,hata sijui ziko kwenye mabara gani,labda unisaidieMtu akisafiri ili kuweza kuingia katika nchi nyingine, mara nyingi huhitajika kutoa Visa pamoja na hati ya kusafiria (Passport). Lakini kuna baadhi ya nchi zinaweza kukuruhusu kuingia bila vitu hivyo ila zitakupa siku kadhaaa unazoweza kukaa nchini humo. Vilevile kuna nchi ambazo Watanzania wanahitaji passport tu kuingia.
Ifahamike kuwa,baadhi ya nchi hizi huruhusu mtu kuingia bila visa na kukaa hadi siku 90 ambazo utatakiwa uwe umepata visa yako au la utarudishwa kwenu. Zifuatazo ni nchi 73 ambazo Mtanzania anaweza kuingia bila visa.
Antigua & Barbuda
Albania
Armenia
Azerbaijan
British virgins Island
Barbados
Bangladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Island
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibout
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt
Fiji
Grenada
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong
Jamaica
Jordan
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon
Libya
Liberia
Macau
Malaysia
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Monserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar
Rwanda
Samoa
Suriname
St. Kitts & Nevis
St. Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore
South Africa
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe
Credit: swahilitimes.
Armenia,abenia,giorgea yote ulaya iyovipi Ulaya hakuna nchi hata moja kuingia bila yai
Armenia,georgia ni ulaya kakaHizo nchi hakuna kitu sawa na simiyu tu......zingekuepo za ulaya na america huko at least
ulaya choka mbaya hiyo kama somaliaArmenia,abenia,giorgea yote ulaya iyo
Ulaya kuna cyprus na romaniavipi Ulaya hakuna nchi hata moja kuingia bila yai
masikini tu hao ndiyo maana kwenda kitonga tuUlaya kuna cyprus na romania