kama Zanzibar, kombo,makame, hajiIpi hiyo? Raia si mnakuwa mnafahamiana wote?
Mkuu nimetembelea Immigration website's za nchi 3, Albania, Armenia Singapore, Albania Na Armenia zimeweka wazi nchi ambazo Ni free Visa, US, Canada na nchi kubwa zingine, wakisisitiza nchi zote za Africa zinahitaji visa! Singapore peke yake wamesema Wao wana free visa kwa 166 worldwide, japo sikucheck list nikasema tunaweza kuwemo, but hizo nyingine hata nchi ambazo Ni free visa hazifiki 50! Inawezekana information za baadhi ya nchi zime change? Umepata wapi taarifa yako?Mtu akisafiri ili kuweza kuingia katika nchi nyingine, mara nyingi huhitajika kutoa Visa pamoja na hati ya kusafiria (Passport). Lakini kuna baadhi ya nchi zinaweza kukuruhusu kuingia bila vitu hivyo ila zitakupa siku kadhaaa unazoweza kukaa nchini humo. Vilevile kuna nchi ambazo Watanzania wanahitaji passport tu kuingia.
Ifahamike kuwa,baadhi ya nchi hizi huruhusu mtu kuingia bila visa na kukaa hadi siku 90 ambazo utatakiwa uwe umepata visa yako au la utarudishwa kwenu. Zifuatazo ni nchi 73 ambazo Mtanzania anaweza kuingia bila visa.
Antigua & Barbuda
Albania
Armenia
Azerbaijan
British virgins Island
Barbados
Bangladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Island
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibout
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt
Fiji
Grenada
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong
Jamaica
Jordan
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon
Libya
Liberia
Macau
Malaysia
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Monserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar
Rwanda
Samoa
Suriname
St. Kitts & Nevis
St. Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe
Source: swahilitimes.
South Africa hawazingui, Ni passport yako Na nauli basi!con nchi nying za ulaya Us na sauz bado wanatuzngua......!!! dawa yao nao wasiruhusiwe kuingia bongo bila viza.
Albania ipo Europe lakini bado haijaingizwa kwenye Umoja wao ni nchi masikini katika bara la Ulaya hiyo albania.nimeiona iyo Albania najua ipo Europe nishatafuta kadem through Badoo sasa nazichanga tu nauli nimrukie fasta nikampe ujauzito
Hizo nchi hakuna kitu sawa na simiyu tu......zingekuepo za ulaya na america huko at least
Mkuu ongezea ongezea zifike hizo 76 hapa tunashare taarifa.Nchi ni 76 ambazo ni visa at arrival desk cheki na si 73 Mkuu..
na kadi ya chanjo...yelow book iyo ndio kitu wanachozingatia hao jamaa.South Africa hawazingui, Ni passport yako Na nauli basi!
sasa utaendaje bila visa hapo sijaelewa, unamaanisha ukikata passport tu ww kata na tiket ya ndege?