NBC Visa + MasterCard zaanza kugawiwa

Wale ambao card zao za NBC zilishachoka wana advantage zaidi, kwani NBC Visa + MasterCard sasa zinatolewa bure bila malipo. Changamkieni muwe na uwezo wa kuchukua pesa kwenye ATM za mabenki tofauti (ila kwa gharama zaidi kila muamala) ila walau itawasaidia wale wanaokuwa na shida ya fedha huku ATM za benki yao ikiwa haifanyi kazi. Lakini ndo hivyo, kama watu mlizoea kutofautisha ATM Card zenu kwa kuangalia picha, kwa sasa mtalazimika mkariri namba za card, kwani hakuna picha, vinginevyo unaweza ukajikuta umebeba kadi ya mkeo au mumeo, unafika kwenye ATM unashangaa umekosea password ! Sana sana signature ndio itasaidia kutofautisha, ila nayo ipo upande wa nyuma! Na wale mnaosafiri nje ya nchi sasa mna nafasi zaidi ya uhakika wa kuchukua fedha mkiwa huko. KAZI KWENU !!
attachment.php
Ni habari nzuri lakini jee hii itatumika kwa islamic accounts pia?.Naomba niulizie huko ofisini kwenu.
 
Je umejaribu kuwauliza ni lazima mtu aende mkoani alikofungulia account au anaweza kuchukua head office Dar, badala ya kutumia pesa kusafiri?
Mimi nimechukua kwenye branch niliyofungulia account ya mwanzo, ila walianza kujitangaza tangu wiki iliyopita na walisema itakuwa unabadili card yako katika branch yoyote ya NBC ndani ya nusu saa. Mimi nilisubiri masaa mawili, ila sio mbaya sana labda kwa kuwa tulikuwa wengi. So kama tangazo lao still holds true, unaweza kuchukua tawi lolote.
 
Kuna jamaa yangu kachukua ana wiki sasa hawezi toa ela inamwambia error 25
Naona itakuwa kwenye probation!
 
Kuna jamaa yangu kachukua ana wiki sasa hawezi toa ela inamwambia error 25
Naona itakuwa kwenye probation![/
QUOTE]

Mkuu labda hiyo yake tu, mimi nimechukua tangu september na inapiga kazi fresh tu. Ni debit card, nishaitumia kwenye ATM za stanbic na exim.
 
wanatoa master cards je security ikoje wadau? sisi wengine hatujui mambo yanaendaje. mie ili mradi nimeenda ukutani nikatoa hela basi lakini ktk hili nina hofu kidogo labda kwa kuwa sijui
 
CEO Sinkala na wengineo mnaojua, kwani ni mandatory kuchukua kadi mpya? Nataka kujua maana wengine tupo mbali kidogo. Tukijuzwa tutakua ktk nafasi ya kupanga na kuchagua.
 
quote_icon.png
By Sinkala
Wale ambao card zao za NBC zilishachoka wana advantage zaidi, kwani NBC Visa + MasterCard sasa zinatolewa bure bila malipo. Changamkieni muwe na uwezo wa kuchukua pesa kwenye ATM za mabenki tofauti (ila kwa gharama zaidi kila muamala) ila walau itawasaidia wale wanaokuwa na shida ya fedha huku ATM za benki yao ikiwa haifanyi kazi. Lakini ndo hivyo, kama watu mlizoea kutofautisha ATM Card zenu kwa kuangalia picha, kwa sasa mtalazimika mkariri namba za card, kwani hakuna picha, vinginevyo unaweza ukajikuta umebeba kadi ya mkeo au mumeo, unafika kwenye ATM unashangaa umekosea password ! Sana sana signature ndio itasaidia kutofautisha, ila nayo ipo upande wa nyuma! Na wale mnaosafiri nje ya nchi sasa mna nafasi zaidi ya uhakika wa kuchukua fedha mkiwa huko.

Ni habari nzuri lakini jee hii itatumika kwa islamic accounts pia?.Naomba niulizie huko ofisini kwenu.
Kutokana na udini wenu hakuna aliyenijibu.Nimekwenda mwenyewe kaunta kuuliza wanasema islamic accounts wanapewa visa card tu.Ikiwa ni hivyo nasubiri kama mwaka hivi nione kama crdb wataanzisha islamic banking wakishindwa nafunga akaunti kwani nilichofuata kwao sasa napata NBC.
 
This Ami guy is a paranoid joker..
Hivi ni wapi mleta Uzi kasema anawakilisha NBC?
Unauliza swali unademand ujibiwe KWANI WEE NI NANI?kuna mtu unamlipa ajibu maswali yako?
Mdini mkubwa wee, nenda ukajiunge na al Shabaab, huko hapanshaka kuna watu wene uoni finyu kaa wako.
 
Mawazo yako kipesa pesa tu, ndio maana ukanunuliwa na kubadili dini.Umekosa radhi za wazee wako na umebaki na jina tu.
Kwani mleta uzi alikwambia anataka pesa kama wewe ili ajibu,hata uzi wenyewe nao hakuuanzisha kwa kulipwa.Kama aliona akashindwa kunijibu ni kwa udini wake tu kwa vile nimeulizia islamic account.
 
Huezi Kudemand ujibiwe..kila mtu anaingia JF kutokana na nafasi yake. Mwenyewe nasumbuliwa na mguu nimeanzisha uzi kusubiria mawaidha lakini siezi kudemand nijibiwe instantly, inabidi kuwa na subra.Wewe kaa unataka ujibiwe instantly nenda kwa wahusika na wasemaji wa benki. Unaposema hujajibiwa kwa sababu ya Islamic acc unadhihirisha upeo wako duni na uezo hafifu wa fikra. Vitendo vya watu kaa wewe ndio vinazidi kuwapaka wasilamu image ya malalamiko yasiyo na msingi. Actually nlikua staki kuandika kwa kirefu hivi, Lakini umenkera sana na cheap idiotic accusations zisizo na kichwa wala miguu. Badilika!
 
CEO Sinkala na wengineo mnaojua, kwani ni mandatory kuchukua kadi mpya? Nataka kujua maana wengine tupo mbali kidogo. Tukijuzwa tutakua ktk nafasi ya kupanga na kuchagua.
Mkuu mimi ni mteja tu wa NBC, sio CEO. Sielewi kama ni mandatory kuchukua kadi mpya, ila nitarudi kulisoma tangazo lao lile la kuuarifu umma.
 
Huezi Kudemand ujibiwe..kila mtu anaingia JF kutokana na nafasi yake. Mwenyewe nasumbuliwa na mguu nimeanzisha uzi kusubiria mawaidha lakini siezi kudemand nijibiwe instantly, inabidi kuwa na subra.Wewe kaa unataka ujibiwe instantly nenda kwa wahusika na wasemaji wa benki. Unaposema hujajibiwa kwa sababu ya Islamic acc unadhihirisha upeo wako duni na uezo hafifu wa fikra. Vitendo vya watu kaa wewe ndio vinazidi kuwapaka wasilamu image ya malalamiko yasiyo na msingi. Actually nlikua staki kuandika kwa kirefu hivi, Lakini umenkera sana na cheap idiotic accusations zisizo na kichwa wala miguu. Badilika!
Na hapa na wewe ulitaka nini?.Mbona huelewi unalosema.
By Abdulhalim CEO Sinkala na wengineo mnaojua, kwani ni mandatory kuchukua kadi mpya? Nataka kujua maana wengine tupo mbali kidogo. Tukijuzwa tutakua ktk nafasi ya kupanga na kuchagua.
Actually nlikua staki kuandika kwa kirefu hivi, Lakini umenkera sana na cheap idiotic accusations zisizo na kichwa wala miguu
Huna na maana la kusema
 
Wale ambao card zao za NBC zilishachoka wana advantage zaidi, kwani NBC Visa + MasterCard sasa zinatolewa bure bila malipo. Changamkieni muwe na uwezo wa kuchukua pesa kwenye ATM za mabenki tofauti (ila kwa gharama zaidi kila muamala) ila walau itawasaidia wale wanaokuwa na shida ya fedha huku ATM za benki yao ikiwa haifanyi kazi. Lakini ndo hivyo, kama watu mlizoea kutofautisha ATM Card zenu kwa kuangalia picha, kwa sasa mtalazimika mkariri namba za card, kwani hakuna picha, vinginevyo unaweza ukajikuta umebeba kadi ya mkeo au mumeo, unafika kwenye ATM unashangaa umekosea password ! Sana sana signature ndio itasaidia kutofautisha, ila nayo ipo upande wa nyuma! Na wale mnaosafiri nje ya nchi sasa mna nafasi zaidi ya uhakika wa kuchukua fedha mkiwa huko. KAZI KWENU !!
attachment.php

umelipia tangazo lako au ndo unaosha PD yako mwezi wa kumi na mbili isomeke poa ulambe bonus?
 
Je umejaribu kuwauliza ni lazima mtu aende mkoani alikofungulia account au anaweza kuchukua head office Dar, badala ya kutumia pesa kusafiri?

Niliuliza NBC victoria wakanambia lazima uende kwenye tawi ulilofungulia. Na hapo ndo NBC hunichosha kwani mabo yao mengi ni ya kilocal sana.
 
quote_icon.png
By Sinkala

Kutokana na udini wenu hakuna aliyenijibu.Nimekwenda mwenyewe kaunta kuuliza wanasema islamic accounts wanapewa visa card tu.Ikiwa ni hivyo nasubiri kama mwaka hivi nione kama crdb wataanzisha islamic banking wakishindwa nafunga akaunti kwani nilichofuata kwao sasa napata NBC.

Mkuu, mimi ni muislamu niliyesoma dini kidogo. Sasa nikukumbushe tu kuwa hizi zinazoitwa islamic bank ni majina tu kuwapata waislamu wafungue ac nk. Wanasema islamic kwasababu hawakupi riba. Lakini unapoenda kuchukua pesa zako au kuweka kwani huwa wanakupa zile zile au zozote zinazowekwa na wezi, wala rushwa, tbl nk (huu ni mfano tu, simaanishi kuwa wateja wote wana sifa hizo).
Pili mtaji wa bank umetoka wapi? Je wakikopana bank kwa bank hawalipani riba? Ambayo ndio inaendesha biashara zote za kibenki?
Tatu, sheria za bank kuhusu hisa wanazouza kwa sababu mbali mbali zinaendana na sheria za kiislamu?
Nne, je ukifungua islamic bank ukakopa kwao sh laki moja, utawalipa laki moja hiyo hiyo bila riba yeyote? (Hapana)
Tano, nani msimamizi wa miamala ya kiislamu katika bank hizo? (Niliuliza nbc hawakunipa jibu, kifupi hawana)
Sita, unapohifadhi pesa zako, hawazitumii katika mambo ambayo dini yetu imeyaweka katika kundi la vitu haramu? Kama vile kukopesha wengine kwa riba nk?
Saba, je islamic ac haihusishwi na WIZI wa banks kwa raia kutokana na charges mbali mbali zisizo na msingi. Imagine unaweka laki moja kwenye kabati yako halaf kila ukiifungua kutazama kama ipo ile laki inapungua sh 300 kwa kuitazama tu ili kuhakiki kama ipo. Hivyo ndivyo banks zinavyotufanya. Kucheki salio kwenye atm wanakucharge, kutoa pesa wanakucharge, mwisho wa mwezi wanakucharge. Khaa! Sasa hizo pesa wanazofanyia biashara ya kukopesha na kula riba haziwatoshi?
Kifupi hii ndio nchi pekee niliyowahi kuwa na ac ina charges za namna hii. Tz unaweza kuweka 100,000 mwisho wa mwaka ukakuta elf 5 ya kitabu, zote zimeenda kwenye charges.
Haya maswali na mengine mengi sana niliuliza pale kichele wakati nafungua ac wakashindwa kunipa majibu. Hata huyo islamic banking advisor wao hakunijibu lolote. Mwisho tuliishia kucheka tu (kuashiria ni usanii wa mabank kuwapata waislamu wasiotaka kufungua ac kwao waone wanaendana na sheria zao). Nikaamua kufungua tu ac ya hawaida.
 
Back
Top Bottom