Asante sana mkuu nimefanikiwa.
Nawezaje kupata hiyo NBC Mastercard? bila shaka ni lazima niwe na account fulani NBC, kuna masharti yoyote?
vipi kuhusu CRDB VISA CARD...kuna aliyejaribu?
vipi kuhusu CRDB VISA CARD...kuna aliyejaribu?
but napendekeza kununua account ya paypal kwanza kwa kutumia hizo master card zenu. Online kuna watu computrer kama wamezigundua wao wakijua tu account yako hata password yako hawana shida nayo wanakomba mahela yote. Pay pal ni nzuri zaidi unakuwa una credit kama vile vocha .unauziwa idadi ya vocha kwa dolla. So unapotaka kununua kitu unachagua
nataka kulipia kwa paypal utaingiza paypal account yako watakata credt kulingana na kiasi ya bei ya kitu unachotaka kununua. www.payppal.com/tz
kweli inawezekana wakuu mimi nanunua mara kwa mara hasa domain name na hosting so inawezekana hata kwa simu app. ila kwa vitu ambavyo unaweza vishika phyisical ni ishuuuuuuuuu....posta tz wanazingua sana.....japo wameanza kujirekebisha...juzi nimenunua spea za lcd tv kwa ebay jamaa kanitumia kwa standard air maill inatakiwa ifike ndani ya 4 to 5 working days cha ajabu hadi sasa hakijafika.bado nafatilia na jamaa anasema ameshatuma na tracking no ninayo.
so inawezekana mkuu kama ni malipo ya softwares na vingine ila sio vitu vya kushikika. sijui wengine mna experience gani