NBC Bank Tanzania

NBC Bank Tanzania

Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.

Mbona majanga jamani.

Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.

Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.

as long ua queen,,mjin utaish hapa bila kwaloz,kama kufulia labda upende wewe
 
we niite tu mwehu wakati hujui mtu halisi mwenye hii ID. kuna maboss zako hapa wanakuangalia tu.

bosi...heheheee umeona lugha uliyoniandikia mara ya kwanza havifanani na bosi...kafie huko...na kwa taarifa tu wala sitoki
 
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.

Mbona majanga jamani.

Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.

Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.

cut off kazini ni kawaida, kwa mabenki ndo kawaida sana kutokana na ongoing economic crisis...
na tb joshua alitabiri mwaka 2014 utakua na misukosuko sana ya kibenki na uchumi kwa ujumla
ADVISE; keep your nose down, work hard as usual,kama nyota ako ina shine kama diamond, ata wapige kelele, huto fukuzwa..
all the best
afu tafuta annointing water upulizie ofisi yako
 
Sisi kuhongwa haijanza siku hizi. Jipya ni wanaume kuhongwa siku hizi. Muombee apate kazi ili mwenzio neema isimkatikie kule aliko kama na yeye ana tabia kama zako.
umenena mamii mtu anakuja kwako mwanaume mwenye nguvu zake anakula kwako,anakunywa muda wa kuondoka anaomba nauli
 
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.

Mbona majanga jamani.

Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.

Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.
kumbe uko benk.....ongera
 
Ni vizuri tunapofanya kazi tujifunze kujiwekea akiba ili ikitokea janga lolote basi usitetereke kiasi cha kusindwa kuendesha maisha, kwahiyo kama ulikula hadi mbegu basi ni vigumu kula matunda baada ya mavuno kumalizika maana ghala halina kitu
 
Vp! Umeolewa?? Kama vp tutafutane 0716636641,,, natafuta mke wa kuoa
 
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.

Mbona majanga jamani.

Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.

Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.
Usiwe na wasiwasi , NBC wanalipa vizuri na 'send off package' yao ya 'redundancy' itakuwa 'handsome'.. Unaweza kajiajiri vizuri tu..
 
sasa na sisi tulio fanya interview hapo head office mwezi wa 1 kuna matumaini au ndo magumashi
 
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.

Mbona majanga jamani.

Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.

Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.
usijali dada angu, yote hayo ni mapito tu, cha msingi jiamini unaweza hata kama hutakua hapo NBC, ila kama ulikua umewekeza kidogo itakusaidia kujishuhulisha na miradi mingine huku kitaa, sio utani huku kitaa maisha yamepinda kama dawa ya mbu best.
 
Ni kweli,inaonesha hakuna watu makini,hebu angalia ripoti zinaonesha non performing loans ni hadi 26%,je hapa kuna kazi au siasa tu na kubebana huku watu hawako serious na kazi?
Tujifunze kufanya kazi tunapozipata na pia sio haya yanayoonekana hapa
 
Mleta mada vp,ulifanikiwa kupunguzwa?
 
Back
Top Bottom