mwehu wewe
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.
Mbona majanga jamani.
Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.
Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.

Mie niliondoka 1995 NBC nikaingia mtaani na nimeweza kumudu kuendesha maisha yangu kwa msaada wake Mungu. Kazi sio NBC tu na maisha ni popote. JIPANGE
we niite tu mwehu wakati hujui mtu halisi mwenye hii ID. kuna maboss zako hapa wanakuangalia tu.
[/B][/COLOR]hahhahh...mzee una biti.....sasa kilichobaki kuangalia anatumia server gani.... na kama ya kazini ndio ishakula kwake...
Mpunguzwe tu mmezidisha dharau mnapokuwa kwenye vidirisha hivyo si mlifikiri bank ya baba yenu hiyo. Mtu umetoka zako kusota umekuja na vijisenti vyako ujihifadhie, unakikuta kidada kimekolea mkorogo kama jini kinaongea na simu kiulize swali sasa hizo dharau! Mpungue tu labda wataobaki wana nidhamu kidogo.