Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.
Mbona majanga jamani.
Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.
Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.
mleta mada vp,ulifanikiwa kupunguzwa?
bado nipo kazini
ulifanya nini hadi bomu lisikuripukie?
jiamini bwana ,,,jiwazie mema na mazuri wakati woteni kwamba bado
ni kwamba bado
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.
Mbona majanga jamani.
Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.
Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.
Mbona majanga jamani.
Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.
Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.
ni kwamba bado
hovyooo...kama mchuzi wa kuku jogooNdio wewe video yako ukifanya ngono ofisini NBC zimesambaa mtaani?
yan ulivyo busy na JF tena muda kazi itatumika moja ya vigezo vya kukupumzisha.
Ndio wewe video yako ukifanya ngono ofisini NBC zimesambaa mtaani?