NBC Bank Tanzania

NBC Bank Tanzania

Lakini sheria za Ajira za Tanzania zinafahamika, huwezi fukuzwa kazi kizembezembe bila kupewa CHAKO. Usijali wakulipe afu uanze bussiness....!!
 
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.

Mbona majanga jamani.

Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.

Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.

Kabla ya kufukuzwa mtalipwa mipesa kibao then unajiajiri...!!
 
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara. Mbona majanga jamani. Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu. Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.
acha uoga we mtoto,kwan wamekwambia watakupunguza wewe?mi nilfkir tayar ushapunguzwa kumbe unahisi na ww utakuwepo,piga kaza songa mbele,competent cku zote haachwi,labda aumwe
 
Wahudumu wa NBC Mna nyodo sana hapo makao makuu hata kwenye Matawi yenu hasa Mabinti Fukuzweni kazi hizo hziwafai nawachukia kama nini
 
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.

Mbona majanga jamani.

Kama kuna anayetaka hata niwe muhudumu kwake nipo tayari. Tunasubiri bomu lilipuke tu.

Na ajira zilivyo ngumu, acheni tu.

wasiwasi wa nini

km ipo ipo tu

jiamin
 
hakuna kitu cha magumash...nina post graduate yangu..cjui hata mtu hapa...niliomba kazi na nikaitwa kwa interview..ila mwaka jana walipunguza watu department flani...ambao wana kila kitu kwa kweli..ndio maana uoga unaingia...na bora wangepunguza kwa stail ya kuwafanyia interview upya...but nasikia wanakuja na majina yao tayar mknoni...kama haumo subiri barua yako..
Ndiyo nini hicho?
 
Vipi binti, au wewe ndiye yule mwenye tabia mbaya sana wa customer care uliyenifokea juzi? Kama ni wewe, Mungu yuko karibu kujibu maombi yangu.

poleeee...mimi nipo juu kwa wakubwa huku..wala sio teller na wala sipo corporate branch...umebugi
 
mikazó;8741229 said:
acha uoga we mtoto,kwan wamekwambia watakupunguza wewe?mi nilfkir tayar ushapunguzwa kumbe unahisi na ww utakuwepo,piga kaza songa mbele,competent cku zote haachwi,labda aumwe

asante sana kwa kunipa moyo
 
Bora wapunguzwe yaani hii bank imeshakuwa kimeo unakwenda kudeposit cheque teller anawaacha nusu saa nzima bila woga nimeandika maoni kupitia sanduku la maoni lakini sijaona mabadiliko ya maana.

Mwaka jana mwezi december nikaamua kufungua account FBME yaani tofauti ni kubwa mno hakuna mambo ya kijinga jinga kuanzia Branch Manager Bwana Ramadhani Lesso hadi mfanyakazi wa chini kabisa wanajali kupita maelezo huduma ni bora mfano hakuna unaweza kwenda na gari ukasahau kulock vitasa bila wasi wasi wa kuibiwa simu au laptop nikajua muda si mrefu NBC itakufa kifo cha mende safari ndiyo inaanza taratibu.Utaratibu wa kupata Overdraft facility ua loan ni mzuri na unafanyika haraka tofauti na NBC kila kitu mpaka kiamuliwe Dar bila kujali mtandao wao ni mkubwa.
 
mwehu wewe

heading ya uzi wako kwa tafsiri unataka attention,una hasira na kimoyomoyo unajifurahisha'i conquer'

Nbc,Crdb na mabenki mengine yalichukuwa watu 'TIOB' kwa internship am sure na wewe utakuwa mmoja wao.Mda ukiisha unaondoka kutafuta ajira pengine

Nbc walivunja mkataba na Erolink na kuajiri vijana kadhaa,wengine wakachukuliwa kama temporary staff.Kama upo kundi la mwisho hapo una shida mbona wenzio waliajiriwa.Tathmini utendaji wako

kama ni permanent staff inapokuja ridandansi chujio huwa ni perfomance,attitude,umri,skills,kuumwa mara kwa mara. Hata ukiachishwa hulipwa mapesa yatakayokuwezesha kujipanga kimaisha.

queen M kama ni permanent huenda huperform au unabifu na bosi wako sasa msimu huu kwa makampuni binafsi unaambulia zero salary increment,zero BONUS na underperfomer unakuwa umejifukuzisha.
 
Back
Top Bottom