Hongera!
bora mie na kism changu cha tochi
Kweli?
teh teh....watu wanajua kuwinda bhana...zinaharibu kweli status kwenye facebook wall.
Next time jipange usikurupuke,Sasa mimi nina ios 7 hapafu natumia bbm ndani ya hiyo ios kama kawa!
huamini au!!!!!!!!!