Nazichukia Blackberry phone

Nazichukia Blackberry phone

Next time jipange usikurupuke,Sasa mimi nina ios 7 hapafu natumia bbm ndani ya hiyo ios kama kawa!
hujamuelewa....anamaanisha kuexpose bbm pin yako fb na kuomba watu waku add
 
www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/543366-miss-chit-chat-november-pendekeza-majina-sasa-5.html#post7650649

kwa wale ambao bado hamjapendekeza nani aingie kwenye kinyang'anyiro cha miss chit chat 2013!
hebu fuata link hapo juu afu pendekeza shansarie awe mshiriki wako..
 
Last edited by a moderator:
ila nzuri sana kwa kutype na kuchat
 
Baadhi ya mibongo ni milimbukeni sana.dah kipinde kile zinaingia ingia waliokuwa wanazimiliki walitu boaje fb...Mara Ohh Bbm party this week,mara cm yangu ilipotea mni add upya..mara this mara that mradi tu mtu aji brag kuwa ana own black berry handset.thanks to android and ios sasa tunaheshimiana.
 
whats the hell with BB, yangu nimeigawa kama zawadi, now i'm in Nokia world!!
 
Back
Top Bottom