Hadithi inakwenda hivi;katika sayari moja zamani paka ndio walikuwa the dominant species. Walikuwa wanaishi katika miti,in the hollow of trees. But they were a failure in that civilization. Kwa hiyo ikaamuliwa watawekwa katika civilization nyingine,ambapo kazi yao itakuwa kuwatazama binadamu,ili watu wengine wakija baadaye,wapate habari kutoka kwa paka. Kwa hiyo wakaletwa duniani,kuwatazama watu,to watch people kwa niaba ya Gardeners of the Earth,hawa wanaitwa Gardeners,kwa sababu wao ndio wanaozunguka katika kila sayari na kuweka binadamu. Binadamu wote waliopo duniani wameletwa kutoka kwenye sayari ya mbali,wamekuja kama savages,wameshushwa kutoka kwenye space craft,ndio maisha yakaanza,for a long time wakawa wanahangaika tu,they did not even know how to make fire. Wakaletwa tena binadamu wengine kuwasaidia. And that is how civilization started. Kwa hiyo the cats are watching all this.