Nawezaje kuwazuia paka kuingia kwangu?

Nawezaje kuwazuia paka kuingia kwangu?

mkuu umeme ni risk na process zake zitakusumbua tu. Nunua sumu ya panya inakuaga kama vichenga chenga ivi wawekee na visamaki kidogo tu weka hapo lala usingizi asubuhi jiandae kuwachimbia shimo na kuwafukia tu maana wakila hawafiki hata hatua tatu

Hivi hapa anaongelewa panya au paka......?.....maana sielewi.......
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    21.4 KB · Views: 51
Kwa wataalam wa umeme, nimekua mara nyingi paka wanavamia banda la kuku wanakula, nimefuga mbwa lakini wamekua wakitoa wire za banda na kupita, sasa nataka ushauri kwa wana umeme, paka anapigwa shock? Kama ndio, nafanyaje kuwatega?
Umeme! Hivi umeme unauchukuliaje kwanza! Umeme wa wapi? Utege afe nani? Kwa namna gani? Ili iweje? Umeme unatega kuua kitu? Utasababisha fault paka atapona utakufa wewe na mkeo kama mshikaki kwenye waya. Afu umeme ni nyara ya selikali utafungwa na utawatia majirani wenzio umaskini. Utakufa utaiva. Ujinga mkubwa kabisa huu. Umeme! Umeme utegee paka! Dah kweli ngozi hii ni tatizo. Aisee wewe. Dah nimesikitika sana,ningekukuta unafanya huu upambafu ningekulamba vibao. Vinyumba vyenyewe havina bima vya uswahilini unataka kuleta upumbafu. Ulaya umeme unalipiwa bima kubwa kwa risk yake wewe unataka tegea paka. Pumbaf*
 
Angalia vizuri.....hao sio paka mkuu.....kuna namna......
 
Cha msingi hapo boresha tu banda lako,coz mojawapo ya sifa za banda bora la kuku ni ni kuwalinda kuku dhidi ya maadui km paka,panya,nyoka etc.
 
Mkuu, umeme ni nguvu kubwa sana.

Wawekee sumu tu.
 
Tatizo lenu mnafikiria paka huyi hao wanafanya wizu, hapana paka nu mojawapo ya wanyam vrty independent hata akifugwa, huwezi kumuua na njaa paka usipompa chakula atajisevia hasubiri kama mbwa.
Hao paka hapo wanajitafutia riziki zao kihalali kwa kuwindandege (kuku wako) kwente banda bovu -imarisha banda lako mkuu
 
Umeme! Hivi umeme unauchukuliaje kwanza! Umeme wa wapi? Utege afe nani? Kwa namna gani? Ili iweje? Umeme unatega kuua kitu? Utasababisha fault paka atapona utakufa wewe na mkeo kama mshikaki kwenye waya. Afu umeme ni nyara ya selikali utafungwa na utawatia majirani wenzio umaskini. Utakufa utaiva. Ujinga mkubwa kabisa huu. Umeme! Umeme utegee paka! Dah kweli ngozi hii ni tatizo. Aisee wewe. Dah nimesikitika sana,ningekukuta unafanya huu upambafu ningekulamba vibao. Vinyumba vyenyewe havina bima vya uswahilini unataka kuleta upumbafu. Ulaya umeme unalipiwa bima kubwa kwa risk yake wewe unataka tegea paka. Pumbaf*
Mtazamo wako sio mbaya ila unaweza kutumia capacitor kubwa na kutengeneza electric shocker.
 
Tatizo lenu mnafikiria paka huyi hao wanafanya wizu, hapana paka nu mojawapo ya wanyam vrty independent hata akifugwa, huwezi kumuua na njaa paka usipompa chakula atajisevia hasubiri kama mbwa.
Hao paka hapo wanajitafutia riziki zao kihalali kwa kuwindandege (kuku wako) kwente banda bovu -imarisha banda lako mkuu
Mtazamo wako uko sahihi. Binafsi nawafuga paka na nahakikisha wameshiba kila siku kuhofia independency na ujasiriamali walionao, maana wakiwapelekea majirani huo ubishoo, wanaweza kuishia kuuwawa tu so Nawalisha muda wote na nahakikisha mabakuli yao yana chakula au maziwa muda wote. I love animals, siwezi recommend kuwaua, huyu muanzisha thread arekebishe banda tu.
 
Kuna watu huwa wanafuga wanyama halafu wanshindwa kuwapa chakula ndio hao wanavizia kuku kwenye mabanda.dawa ni kuimarisha banda .Maana kumbuka kuku huwindwa hata na mbwa mwenye njaa,panya wakula vifaranga,kichechee pia.kama paka wako mpe chakula na kama siyo wako mpe sumu changanya na samaki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom