Nawezaje kuwazuia paka kuingia kwangu?

Nawezaje kuwazuia paka kuingia kwangu?

Safi Sana Kwa Kutunza Viumbe Visivyotunzwa Na Wenyewe,
Nakushauri Endelea Kuwapa Chakula Na Uwaonyeshe Upendo Maana Wameona Kwako Ndio Kimbilio,
Wakizaliana Uza Maana Watoto Wapaka Mjini Hadi Elfu Ishirini Soko Ntakutafutia.
By Mtaalam Wa Mifugo
 
Jamani ninaomba msaada wa mtaalamu wa wanyama ili anisaidie kitu gani kitawafanya paka wa jirani kingia kwangu kwenye fence yangu na kukesha wakilia nyuma ya nyumba yangu
imekuwa ni kero kiukweli.

Naomba msaada nitamlipa akinifanikisha.

Asanteni kwa ushauri

kama uko tayari sema nikupe kifaa maalumu kinachotumia umeme kuwafukuza paka kwa sauti maalumu
 
mkuu umetisha..
umetupunguzia stress za uchaguzi angalau kwa sekunde.
 
Jamani ninaomba msaada wa mtaalamu wa wanyama ili anisaidie kitu gani kitawafanya paka wa jirani kingia kwangu kwenye fence yangu na kukesha wakilia nyuma ya nyumba yangu
imekuwa ni kero kiukweli.

Naomba msaada nitamlipa akinifanikisha.

Asanteni kwa ushauri

Punguza kukaangiza kiongozi!kwao inaonekana hamna makaangizo!
 
Au wakamate watie kwenye kitoba then yia fimbo kisawa sawa ukifungua kiroba atakavyo kimbia harufi tena.
 
Jamani ninaomba msaada wa mtaalamu wa wanyama ili anisaidie kitu gani kitawafanya paka wa jirani kingia kwangu kwenye fence yangu na kukesha wakilia nyuma ya nyumba yangu
imekuwa ni kero kiukweli.

Naomba msaada nitamlipa akinifanikisha.

Asanteni kwa ushauri

kama huwa wanakula vyakula,watege na paracetamol,,,,hiyo ni kafie mbali ya paka
 
paka hawapatani na pilipili ya unga kwani akiikanyaka halafu ikatokea imwingie machoni ndo mwisho wa kuja kukusumbua,kwani katika jitihada ya kupunguza maumivu ya pilopili machoni anaweza kujiparura macho,akawa kipofu kabisa...

dawa ya paracetamol nayo ukimsinginia ule unga uweke kwenye kipande cha samaki akala,,lazima atakufa kwani hiyo dawa inakwenda kufanya reaction mwilini mwake hawezi kupona...
 
Hiyo hela ya kumlipa "mtaalam" nunua mbwa.....paka watakuwa historia

Mkuu, umeniwahi kwa jibu hilo. Kwangu paka ni historia baada ya kufuga mbwa. Siku za mwanzo paka walikuwa wabishi. Tulikuwa tunakuta mizoga asubuhi mbwa wamefanya kazi yao.

Siku zote paka na mbwa wanaishi pamoja nashangaa huu ushauri mnaotoa hapa. Akubaliane tu kelele zao maadamu haziui wala kumfanya mtu augue.
 
Siku zote paka na mbwa wanaishi pamoja nashangaa huu ushauri mnaotoa hapa. Akubaliane tu kelele zao maadamu haziui wala kumfanya mtu augue.

Wanaweza kufundishwa kuishi pamoja hilo halina ubishi. Kinyume cha hapo, sehemu kuna mbwa wasio na mazoea na paka, lazima wamkimbize.
 
Paka ni CCTV ya Mungu. Sasa hivi they are understandably excited.. Wana kazi kubwa ya kuurekodi huu Uchaguzi. Kama Mzizikavu anawachukia paka yeye ni fake occultist. Paka ni direct extension of the Manu of the world.
 
mmmmh nieleweshe vizuri mkuu hapo unaposema paka ni cctv ya Mungu
 
Ushauri wa bure: wakianza kulia wewe toka nje kinyume nyume ukiwa uchi hadi sehemu walipo kisha hakikisha unaj.mba kwa sauti kuu hawatarudi tena. cc ambiere mshana jr

Ahahahahaha....jamaniii
 
Last edited by a moderator:
Wasiliana na manyaunyau anawahitaji sana hiyo ni fursa imejileta yenyewe
 
mkuu huenda kwako kuna zao la panya na ndo maana paka hao wamehamia kwako

kuhusu kutoa milio usiku ni kuwa wanawaita hao panya watoke walipojificha kwani m?lio ya hao paka huwavutia zaidi panya. Asante
 
wawekee vipande vya samaki nguru... wakishavitafuna tu hawatokuja tena ..

Umenikumbusha mbali,niliwahi kufuga paka wangu mzuri mnoo nlikuwa nampenda sana,siku moja nlinunua nguru nikapika ugali nikala nikamkatia paka wang kipande cha nguru wala sikujua km paka huwa na aleji na nguru ,yani alianza kukonda na kunyonyoka manyoya mpk akafa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom