Donkey
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 1,499
- 1,585
Kwa wataalam wa umeme, nimekuwa mara nyingi paka wanavamia banda la kuku wanakula, nimefuga mbwa lakini wamekuwa wakitoa wire za banda na kupita, sasa nataka ushauri kwa wana umeme, paka anapigwa shock? Kama ndio, nafanyaje kuwatega?
Tanzania tuna sheria ya kuzuia ukatili kwa wanyama ole wako ufanye hivyo. utakwenda gerezani miaka mitatu bila faini