Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

Kwa hiyo dreamliner inafanya safari za ndani?

Ofisi gani inilipie?
Mimi hutuma situmwi namtu ewe ngedere uchwara😂
Huu ni ni mwaka wa 19 napasua mawingu.
So ni kawaida kabisa😂😂😂
Sawa sawa miaka 19 unajisifu kupanda ndege na unavyopend mambo ya kuwaza waganga iko siku utapand ungo😀

Sema tafuta hela uache kulia lia 😀
 
kwa hela ipi?? 😅
pocket money
vijana wa siku hizi kweli wavivu nikiw chuo sikuwa na mkop na sikuw nategemea hela ya mzazi 😀 nimefungua baro za bag za Korea sana tu na nguo za mtumba grade 1
wateja wangu walikuw wanafunzi

nilifungia kama kampuni isiyo rasmi ya kuandika research, proposals, business plans na vijana wa kazi.....mmoja ya kazi kubwa ambazo nimefanya ATCL business proposal anayopand huyo mshamba mmoja
nimefanya kampuni moja ya maji huko pwani na Miss Tanzania aliyopigwa chini niliandikia wizara proposal. .
 
Hapo ndo unatakiwa ujifunze kuwa penzi la milele linapatikana kwy movies/seasons. Ila kiuhasia wa maisha, kweli tunatakiwa kupenda tena haswaa, lakini tusisahau pindi penzi linapokufa tunatakiwa kusonga mbele na maisha yetu.
 
pocket money
vijana wa siku hizi kweli wavivu nikiw chuo sikuwa na mkop na sikuw nategemea hela ya mzazi 😀 nimefungua baro za bag za Korea sana tu na nguo za mtumba grade 1
wateja wangu walikuw wanafunzi

nilifungia kama kampuni isiyo rasmi ya kuandika research, proposals, business plans na vijana wa kazi.....mmoja ya kazi kubwa ambazo nimefanya ATCL business proposal anayopand huyo mshamba mmoja
nimefanya kampuni moja ya maji huko pwani na Miss Tanzania aliyopigwa chini niliandikia wizara proposal. .
mimi wacha nile maisha mda bado 😅
 
Hapo ni mpaka umpate Mpenzi atakayemzidi huyo WA Kwanza.
Ukipata cherema mwingine lazima umkumbuke wa Nyuma.

Hata Wana Waisrael walikuwa wanakumbuka Misri wakiwa wanapitia magumu.

Kama walivyosema wengine Dawa ya mapenzi ni mapenzi yenyewe. Huwezi tibu mapenzi Kwa Njia nyingine.
Mapenzi husahaulisha mapenzi ya nyuma
 
Keri hilson kwenye ngoma yake ya energy ,shairi la kwanza anasema kwamba.......'I wish I could rip out a page of my memory
Cause I put to much energy in him and me
Can't wait til I get through this phase
Cause it's killing me
To bad we can't re-write our own history.............

Mleta mada pole sana ....jipe MUDA
 
Back
Top Bottom