King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,968
- 98,094
Nahitaji kusahau moment zote za nyuma, nifanyaje niweze kusahau kila kitu kuhusu mahusiano ya nyuma (ndoa)?
Pole sana ,time heals.
Nahitaji kusahau moment zote za nyuma, nifanyaje niweze kusahau kila kitu kuhusu mahusiano ya nyuma (ndoa)?
mkuu maisha yote haiwezi tokea naumia kwaajili ya upweke coz ni mtu niliekaa nae miaka kadhaa sio kana kwamba namuhitaji kimapenzi ama turudiane hapana kinachonitesa kuzoea hali ya upweke basiHuwezi kumsahau kamwe, na siku mkikutana lazima akubandue.
Hahaha aise 😂😂😂🤣
Eti eeh 😂😂Tatufa mwamba akupende vizuri, usipende kukaa pekeako utasahau tuu
Au kuna ile wanasema unaandika jina la muhisima kwenye toilet paper then unaiflash chooni (sina uhakika niliisooma tu)
Safi kipenziDawa ya mapenzi ni mapenzi, dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie....pendeza, jipodoe podo....zile nguo za sikukuu zivae kila siku.....kuwa msafiii, punguza makorokoro ndani.....jitoe out, anza kudate, tena huyo utayempata mpe yote....vingine usivibanie🤣🤣
Usiposahau njoo nikupeleke Kwa mtaalamu tukaangalizie😜
Aisee 😂 hio ni kazi sasa hapo inabidi uandike vile ubongo wako unahitaji huyo mtu aweje ambae hatoweza ku-erase (kufuta) kumbukumbu zote za mtu wako wa mwanzo ila ataweza kukusahaulisha kwa muda kuhusu kumbukumbu zote za Mambo yaliyopita kwenye ndoa yako kwa kufukiafukia yale mabaya yote umepitia na kukuonyesha pamoja na mabaya yote umepitia hivi ndivyo mema yanavyokua akikutendea mema mengi yanachukua uzito ukahifadhi kwenye ubongo wako ukifurahi na kufurahia na kufurahi then unasahau mabaya uliyoyapitia na hapo ndipo unapomsahau mtu wako wa mwanzo taratiibu, kwa hio weka vigezo vyako kwamba unataka anaeweza kukusahaulisha haya yote awe hivi na hivi na hivi maana ni wewe ndiwe mwenye uhitajinitaftie😂
akiwa mume ndo humsahau?
Woooih!
We focus on yourself, watakuja Hadi utakuwa hujui uchague yupi.nampata wapi mie wa kufuta kumbukumbu jamani lol
Akifanya hivi mbona atasahau kabisa stress inatakiwa ajipende haswaaaWe focus on yourself, watakuja Hadi utakuwa hujui uchague yupi.
Cha msingi Acha kulea kizamani mipini kichwani🤣🤣🤣 jipende, mpende mtoto awe msafi na afya njema.....Yani jiweke vizuri kiasi mtu akiambiwa unanyonyesha anakataa....hakuna asiyependa kizuri, usishangae na huyo mume akajirudisha....Ila ukikaa kulia lia, ukakondeana utampa bichwa ex na kujizeesha kabla ya umri.
Jipe muda... time heal utasahau tu, mapenzi yanauma mno mbaya zaidi mwenye dawa ni yule aliyekuumiza,pole sanaNahitaji kusahau moment zote za nyuma, nifanyaje niweze kusahau kila kitu kuhusu mahusiano ya nyuma (ndoa)?
Hapo kwenye vyote mweleweshe vzr asijekatoa vyote kweliDawa ya mapenzi ni mapenzi, dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie....pendeza, jipodoe podo....zile nguo za sikukuu zivae kila siku.....kuwa msafiii, punguza makorokoro ndani.....jitoe out, anza kudate, tena huyo utayempata mpe yote....vingine usivibanie[emoji1787][emoji1787]
Usiposahau njoo nikupeleke Kwa mtaalamu tukaangalizie[emoji12]
Ww ni wa kike au kiume?Nahitaji kusahau moment zote za nyuma, nifanyaje niweze kusahau kila kitu kuhusu mahusiano ya nyuma (ndoa)?
Asitoe vya haram, vilokatazwa🤣🤣🤣 viloruhusiwa ndo atoe bila choyo🤣
kwahiyo tuseme, atoe vyote lakin vigezo na masharti kuzingatiwa eehAsitoe vya haram, vilokatazwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] viloruhusiwa ndo atoe bila choyo[emoji1787]
hata salamu hakuna ..Futa namba yake, futa picha zake ,futa old convo zake, mblock insta,wasaap,FB etc etc
Acha mazoea nae zaidi ya salamu tu,
Humo humo🤣kwahiyo tuseme, atoe vyote lakin vigezo na masharti kuzingatiwa eeh
Sent using Jamii Forums mobile app
All those moments will be lost in time, like tears in the rain, like a vanishing chime.Time is the best healer