Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

Wanakula ngano sana ndio maana mashoga wengi😀

Unanang'ania mambo ya kulala kwa waganga hayo ndio mqisha na akili yako ilipo🤣
nimeshiba ugali nataka ninywe kahawa kwanza hapa 😀
Duuh hebu tulia kabla hatujakuumbua zaidi..
Kesi za Rombo ni nyingi hadi uzao mnasaidiwa na Wakenya...bado huo ufirauni ...kuna wachaga naheshimiana nao hii ni post ya mwisho kuwataja...
 
WAkuja ndio mjanja, sio wewe toka Rombo tu Dar unaona umemaliza wengine tunachoma kila mahali hapa nilipo ndio nimetua mahali na li dreamliner letu....kicheche weweView attachment 2631230
🤣🤣 unachat toka juu angani sio


Ukiona choo ndotoni usikitumie ni mtego huo unaweza kata gogo🤣
 
Tushalijua hilo tule kimya.

Sikiliza akikutaka kubali ulichune...si umeona ni Mr. Nice?😂😂😂
hata za kumchuna zenyewe unahis anazo basi,,shida tupu yani😂
 
Duuh hebu tulia kabla hatujakuumbua zaidi..
Kesi za Rombo ni nyingi hadi uzao mnasaidiwa na Wakenya...bado huo ufirauni ...kuna wachaga naheshimiana nao hii ni post ya mwisho kuwataja...
Tatizo utakuw uligwa tukio na wachaga ukiwaona basi unapata marine ruwe. PSTD😀
 
Aah mie haupandi labda mniandalie mlenda au mswalu sijui nswalu
Huo ukila hakikisha unajifungia ndani maana akipita mtoto na kamasi 🤣 hutokula
Karibu sana Palina nina kachanga uje utusaidie kubembeleza
 
Nahitaji kusahau moment zote za nyuma, nifanyaje niweze kusahau kila kitu kuhusu mahusiano ya nyuma (ndoa)?
Ni kuondokana na maumivu ILA siyo kusahau hakuna hata mtu anayesahau ILA maumivu yanapoondoka huwa vinapotea ILA akija mtu kukumbusha utaendelea kukumbuka kila kitu. Maumivu yanapoisha moment zinaanza kufade lakini hazisahauliki
 
Back
Top Bottom