Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

Majungu sio mtaji😀 yani Glenn kama vile chawa wa wachaga🤣 namfamanisha na mwikwaju au baba leo
umeona alivyosema ninajuana na wachaga naowaheshimu😀
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naona nakunyima raha acha nifanye mengine kwaheri😂😂😂
 
Kwani kupanda ndege si sawa na kupanda Tilisho ya Rombo tu?
Ndio umenuna vile?

Huu kwangu sioni jipya
Tilisho ni gari pendwa sana ndio maana umelijua😀
Sasa wewe kupanda ndege umeona jambo kubwa watu wamesafiri passport zimejaa wewe safari za hapa za kulipiwa na ofisi unakuta shirika la Baba yako🤣
 
Jamani wewe sio mchaga nakataa.
Utakuwa mkamba liliacha mbegu Rombo...
Huoni dogo mshamba_hachekwi yuko vizuri kichwani?😂😂
Dogo anasoma diploma huko bush nina masters kichwani mzee na bado
aahh wacha nisiseme inawezekana unataka niseme qualifications zangu

siku tutakutana tu😀 amini utaniamkia shikamoo brother
 
Tilisho ni gari pendwa sana ndio maana umelijua😀
Sasa wewe kupanda ndege umeona jambo kubwa watu wamesafiri passport zimejaa wewe safari za hapa za kulipiwa na ofisi unakuta shirika la Baba yako🤣
Kwa hiyo dreamliner inafanya safari za ndani?

Ofisi gani inilipie?
Mimi hutuma situmwi namtu ewe ngedere uchwara😂
Huu ni ni mwaka wa 19 napasua mawingu.
So ni kawaida kabisa😂😂😂
 
Back
Top Bottom