Ubongo haujaumbwa kufuta matukio, tukio ulilofanyiwa ukiwa na miaka 3/4 hutolisahau kamwe sababu ni tukio ambalo ulikua unalirudia kulipitisha kwenye ubongo Mara nyingi sana, kwa hio kwanza elewa ubongo haufuti kumbukumbu za matukio ambayo uliyafikiria mda mrefu, km ukiona tupu yake ukawa unairudia kuifikiria kila Mara na zile nice moments zote huwezi zifuta kwenye ubongo
Njia pekee ya kujituliza ni kumpata mtu ambae ataclear mistakes za aliepita na umchukulie km clone, baada ya hapo akufanyie mazuri Mara nyingiiiiiiii yahifadhiwe kwenye ubongo hapo taratiiiiiiibu utaona kumbukumbu za matukio za yule aliepita unaanza kuzisahau maana hazipitishwi kwenye memory card ya ubongo wako