Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

Swala la mapenzi jaman ni zito sana, mi sijaoa ila juzi tu hapa bimdada kanpiga kibuti huezi amini napata shida kula leo siku ya 5.

Tunatofautiana katika kutunza kumbukumbu ya mambo ya watu tuliowapenda, Jipe Muda, yote unayoshauriwa ni mazuri ila yanataka MUDA, hata usipofanya chochote baada ya MUDA utasahau kabisa.
 
Pole
 
huko alipo anakula na anaongeza uzito mwilini, wewe unashinda na njaa..?? kuwa serious
 
you can't be serious 😂😂😂😂🤦‍♀️
teh teh teh nimevimbiwa ugali
20230522_142708.jpg
 
As a man, najaribu kutafakari kwa mfano huyu dada akifuata huu ushauri wa kutafta njemba ingine ili amsahau jamaa ake, ndo mwanaume unajikuta una date nae hyo emotional baggage unayoenda ku deal nayo kama hauko vizuri mentally na emotionally na wewe pia unaharibikiwa.
I think the best option ingekua tumshauri on how to heal kabisa from this trauma before hajaanza ku deal na wanaume wengine maana pasipo kujua atajikuta anawabebesha mizigo mikubwa ambayo ot may lead to many more problems.
Exactly
 
Dawa ya mapenzi ni mapenzi, dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie....pendeza, jipodoe podo....zile nguo za sikukuu zivae kila siku.....kuwa msafiii, punguza makorokoro ndani.....jitoe out, anza kudate, tena huyo utayempata mpe yote....vingine usivibanie🤣🤣

Usiposahau njoo nikupeleke Kwa mtaalamu tukaangalizie😜
wewe ni KICHAAA 😂
 
Back
Top Bottom