Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

Ngano ndio hushushq uwezo wa kufikiri ngoja nitakuwekea ushahid😀 ndio maana 😀
Fumbafu kabisa, Ulaya na Us mahindi wanalisha ng'ombe.
Wanakula ngano.
Ona tofauti:
1. Mzungu anapaa kwa tech.
2. Mrombo analala kwa mganga uchi ili biashara iende...ni matokeo ya ugali🤣🤣🤣
 
Huyo mchaga asikutishe, ni mshamba kuliko washamba wenyewe ndio maada dogo lake linamtetea kwa kusema mshamba_hachekwi 🤣🤣🤣🤣🤣
Haha tatizo unajiita mjanja wakati ni wa kuja🤣

Ukumbuke kuwa nimekula nimeshiba. Simu ina charge full na leo nimetuma mzigo states nasubiri waniingizie pesa 😀
 
Fumbafu kabisa, Ulaya na Us mahindi wanalisha ng'ombe.
Wanakula ngano.
Ona tofauti:
1. Mzungu anapaa kwa tech.
2. Mrombo analala kwa mganga uchi ili biashara iende...ni matokeo ya ugali🤣🤣🤣
Wanakula ngano sana ndio maana mashoga wengi😀

Unanang'ania mambo ya kulala kwa waganga hayo ndio mqisha na akili yako ilipo🤣
nimeshiba ugali nataka ninywe kahawa kwanza hapa 😀
 
Si rahisi kusahau kwa haraka ivo, inachukua muda mpaka kusahau

Ila ukiwa mtu ambaye unajikeep busy all the time ni rahisi sana, yaana umabidi uwe tu mbali na mawazo maana mawazo ndo yanakufanya usiweze kusahau ya nyuma

Kama vp tafuta mtu wa therapy au fanya meditation izo huwa zina saidia sana, ogopa kukaa pekeako tafuta watu uchangamke nao wakupe company sio watu wenye mawazo tafuta wale happy people

Kama vipi we angalia cartoon tu huwa zinasaidia kinyama yaani sema tu watu huwa hawajui hilo
 
Nahitaji kusahau moment zote za nyuma, nifanyaje niweze kusahau kila kitu kuhusu mahusiano ya nyuma (ndoa)?
Time... Time.... Time... The Healer

You can't forget completely like it never happened before but you can adapt and recover from the pain you're experiencing right now.

Memories about the times you spent with the guy will no longer bother your feelings

PULL UP
 
Back
Top Bottom