Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,484
- 167,324
Huo ugali mbichi kabisateh teh teh nimevimbiwa ugaliView attachment 2631207
Huo ugali mbichi kabisateh teh teh nimevimbiwa ugaliView attachment 2631207
Ushirikina huu...wewe mtajie jina mwamba mpya😆Tatufa mwamba akupende vizuri, usipende kukaa pekeako utasahau tuu
Au kuna ile wanasema unaandika jina la muhisima kwenye toilet paper then unaiflash chooni (sina uhakika niliisooma tu)
Hivi mtu akikublock sehemu zote kumbe asahau moments nzuri?Futa namba yake, futa picha zake ,futa old convo zake, mblock insta,wasaap,FB etc etc
Acha mazoea nae zaidi ya salamu tu,
haha kama unakula ndoto na kushiba endelea kula ndoto na bado unatembea bila vitz😀sikuona vizuri nikajua popcorn ndomana nlishangaa,eti simu ya bei rahisi, unahis nliyenae saiz mchovu kama wewe dear ex😏
ndio mshamba_hachekwini nini hicho pembeni kama wali.... mi mshamba 😂
Lakini wanawake matapeli sana, mnatutega kumbe ni tabia bandia😁😁😁😁Dawa ya mapenzi ni mapenzi, dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie....pendeza, jipodoe podo....zile nguo za sikukuu zivae kila siku.....kuwa msafiii, punguza makorokoro ndani.....jitoe out, anza kudate, tena huyo utayempata mpe yote....vingine usivibanie🤣🤣
Usiposahau njoo nikupeleke Kwa mtaalamu tukaangalizie😜
Ushazoea kula ugali wa mihogo au mtama ili ukila kidogo unashib au unavimbiwa😀 huu ugali ni pure...Huo ugali mbichi kabisa
Huyo mchaga asikutishe, ni mshamba kuliko washamba wenyewe ndio maada dogo lake linamtetea kwa kusema mshamba_hachekwi 🤣🤣🤣🤣🤣sikuona vizuri nikajua popcorn ndomana nlishangaa,eti simu ya bei rahisi, unahis nliyenae saiz mchovu kama wewe dear ex😏
Imeandikwa mshamba_hachekwi 🤣🤣🤣🤣🤣Ushazoea kula ugali wa mihogo au mtama ili ukila kidogo unashib au unavimbiwa😀 huu ugali ni pure...
🤣🤣🤣Hawezi kuwa na memories za mtu ambae hakumpenda na kumjali. Atulie dawa inaingia
sema tu unaelekea wapi saa hii nikupe lift😊haha kama unakula ndoto na kushiba endelea kula ndoto na bado unatembea bila vitz😀
sijui vile ukila ndoto unakuny nini😀
kwakweli 😂😂😂Huyo mchaga asikutishe, ni mshamba kuliko washamba wenyewe ndio maada dogo lake linamtetea kwa kusema mshamba_hachekwi 🤣🤣🤣🤣🤣
Ugali hushusha uwezo wa kufikiri, mimi hula zaidi nganoUshazoea kula ugali wa mihogo au mtama ili ukila kidogo unashib au unavimbiwa😀 huu ugali ni pure...
Lakini tunyamaze maana imeandikwa mshamba_hachekwikwakweli 😂😂😂
Ngano ndio hushushq uwezo wa kufikiri ngoja nitakuwekea ushahid😀 ndio maana 😀Ugali hushusha uwezo wa kufikiri, mimi hula zaidi ngano
Na kweli aje tupoozane mi mwenyewe nimetoka kuchezea kibutiDate na [mention]Mzee wa kupambania [/mention] [mention]dronedrake [/mention] au [mention]Analyse [/mention]
kweli hatutakiwi kumcheka, tukae tu kimya😊Lakini tunyamaze maana imeandikwa mshamba_hachekwi
mnatusimanga sana mi na Gily ila wachaga ndo tumeshika uchumi wa taifa 😂Huyo mchaga asikutishe, ni mshamba kuliko washamba wenyewe ndio maada dogo lake linamtetea kwa kusema mshamba_hachekwi 🤣🤣🤣🤣🤣