ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 5,011
- 11,806
Nina simu apa mtu aliiweka bond then kadisapia naiogopa ata kuigusa maana cmjui vizur mjamaa nipe muongozo mkuu
Nina simu apa mtu aliiweka bond then kadisapia naiogopa ata kuigusa maana cmjui vizur mjamaa nipe muongozo mkuu
Unachekesha sana ww alfu nilichogundua huna maajabu 😆😆kaibe halafu useme ww muelewa nyie ndio mnakuja inbox kulia lia nawazibia rizki zenu try 4 ua better life uone nn kitakutokea hutajuta rafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
boss nje ya kuflash hata ukibadilisha imei watoto wa mjini wanasema kuibatiza kutokana na vifaa ninavyotumia bado nakudaka kiulaini.
Sent using Jamii Forums mobile app
we mtata sanaaasimu ikiibiwa hata ufanye restore factory bado asilimia 100% za kumnyakua mwizi zipo
nahata wakiiflash unanyakua mpaka fundi maana tunacollect hadi ip adress za computer ilofanya hilo zoezi.
na pia kama imetembea kwa watu zaidi ya 10 kila aloweka laini yake unanyakua hadi wa mwisho sasa hapo una chagua upate simu yako tuu au na mwizi wako mkapambane.
Sent using Jamii Forums mobile app
by email or imeiMcheki huyu jamaa yoshas atakusaidia kutrack simu yako ni mtaalam wa IT.. Alinisaidia kuipata simu yangu ya xiaomi iliyoibiwa
Imei tu.. Ila uwe na rb ya polisi
Naogopa isije ikawa imepigwa nikadakwa kipimbi
MREJESHO:Wakuu vibaka wameniibia simu yangu Samsung Galaxy Tab A 7. android 5.x.x
nimejaribu kuitrack lakini naona itakua imefanyiwa factory reset, android version yake haina ile lock ambayo hata uki rest haitoki
naombeni ushauri kuna namna naweza fanya kabla ya kwenda polisi nimepewa fununu plisi wanaweza kuitrack ikapatikana
Nawasilisha

Unaweza kumuuliza polisi swali hill!Unafanyaje!
Hahahaaaaaaa! mnadanganya sana watu nyie watu aisee daah!simu ikiibiwa hata ufanye restore factory bado asilimia 100% za kumnyakua mwizi zipo
nahata wakiiflash unanyakua mpaka fundi maana tunacollect hadi ip adress za computer ilofanya hilo zoezi.
na pia kama imetembea kwa watu zaidi ya 10 kila aloweka laini yake unanyakua hadi wa mwisho sasa hapo una chagua upate simu yako tuu au na mwizi wako mkapambane.
Sent using Jamii Forums mobile app
ungemfungulia kesi huyo polisi ili amtaje mwizi wako awekwe ndani arudishe gharama za usumbufu na kumtandika makofi ,huyo polisi atakuwa kala hela kwa huyo mwizi.MREJESHO:
Wakuu nashukuru nimeipata simu yangu
Nilienda polisi kuchukua RB, baada ya hapo askari akanambia naweza kuitrack kama nataka
Akaniunganisha kwa askari wa kitengo nikampa details tukayajenga
Jana akanipigia simu nikaenda nikapewa simu yangu ila mwizi wangu sikumuona![]()
Inategemea hiyo imei imebadilishwa kwa level ipi na software ipi imetumika ila kama mimi ningekuwa mwizi hahahaa mzee hunipati na simu natumia vizuri kbs
Bosi nasisi wenye Tecno tukiibiwa unaweza kutusaidia mana huku watoto Wa mbwa wanabebakwa mlionifuata pm samahani jf siingii mara kwa mara lkn nimewaachia maagizo namna ya kunipata kwa urahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yakeungemfungulia kesi huyo polisi ili amtaje mwizi wako awekwe ndani arudishe gharama za usumbufu na kumtandika makofi ,huyo polisi atakuwa kala hela kwa huyo mwizi.
MREJESHO:
Wakuu nashukuru nimeipata simu yangu
Nilienda polisi kuchukua RB, baada ya hapo askari akanambia naweza kuitrack kama nataka
Akaniunganisha kwa askari wa kitengo nikampa details tukayajenga
Jana akanipigia simu nikaenda nikapewa simu yangu ila mwizi wangu sikumuona![]()
Gharama uliyotumia kuitrack?MREJESHO:
Wakuu nashukuru nimeipata simu yangu
Nilienda polisi kuchukua RB, baada ya hapo askari akanambia naweza kuitrack kama nataka
Akaniunganisha kwa askari wa kitengo nikampa details tukayajenga
Jana akanipigia simu nikaenda nikapewa simu yangu ila mwizi wangu sikumuona![]()
Mkuu nliibiwa simu yangu naomba msaada wako tafadhali au namna ya kukupatakwa mlionifuata pm samahani jf siingii mara kwa mara lkn nimewaachia maagizo namna ya kunipata kwa urahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app