Mathenge
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 799
- 457
Nina simu apa mtu aliiweka bond then kadisapia naiogopa ata kuigusa maana cmjui vizur mjamaa nipe muongozo mkuu

MREJESHO:
Wakuu nashukuru nimeipata simu yangu
Nilienda polisi kuchukua RB, baada ya hapo askari akanambia naweza kuitrack kama nataka
Akaniunganisha kwa askari wa kitengo nikampa details tukayajenga
Jana akanipigia simu nikaenda nikapewa simu yangu ila mwizi wangu sikumuona![]()
Kuna thread jukwaa la malalamiko inamtafuta huyo yoshasNgoja siku zisogee baada ya siku 3 nitatoa ushuhuda mzima maana inawezekana bado anajipanga lkn kwa kifupi namba alizonipa hazipatikan, whsp ofline kitu alicho niahid baada ya dakik 2 mpaka sahiz hajatekeleza na vitu kibao vinavyo niaminisha nimepigwa japo n pesa kidogo sio mbaya San.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mcheki huyu jamaa yoshas atakusaidia kutrack simu yako ni mtaalam wa IT.. Alinisaidia kuipata simu yangu ya xiaomi iliyoibiwa
yoshas ni tapeli
Nitaleta ushahidi very soon, nilimlipa 50K anisaidie kutrace simu yangu iliyoibiwa lakini kaishia kuni-block
Ntarudi na screenshot na msg zote za mawasiliano
Sent using Jamii Forums mobile app
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1704894/Ngoja siku zisogee baada ya siku 3 nitatoa ushuhuda mzima maana inawezekana bado anajipanga lkn kwa kifupi namba alizonipa hazipatikan, whsp ofline kitu alicho niahid baada ya dakik 2 mpaka sahiz hajatekeleza na vitu kibao vinavyo niaminisha nimepigwa japo n pesa kidogo sio mbaya San.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole jikazd tuYaani mtu umetoka kuibiwa/kutapeliwa simu, halafu jitu jingine tena linatumia mwanya huo huo kkutapeli pesa tena,
dah unaweza ukahisi dunia haikutaki!
Sent using Jamii Forums mobile app

😂 😂 😂 😂 😂Yaani mtu umetoka kuibiwa/kutapeliwa simu, halafu jitu jingine tena linatumia mwanya huo huo kkutapeli pesa tena,
dah unaweza ukahisi dunia haikutaki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na mimi unaweza nisaidia namba ya polisi PM au ukanipa hatua ulizo fanyaMREJESHO:
Wakuu nashukuru nimeipata simu yangu
Nilienda polisi kuchukua RB, baada ya hapo askari akanambia naweza kuitrack kama nataka
Akaniunganisha kwa askari wa kitengo nikampa details tukayajenga
Jana akanipigia simu nikaenda nikapewa simu yangu ila mwizi wangu sikumuona![]()
Nimejisikia vibaya kupewa tuhuma ambazo hazina ukweli wowote..naona watu wanadhani Id yangu ni moja na ya @yushas kitu ambacho sio cha kweli... Naomba nikiri wazi kuwa nilimtafuta @yushas anisaidie kutrack simu yangu wakati tayari nishafungua kesi kituo cha polisi na tayar kesi yangu ilipewa askari wa kuifatilia lakin cha kushangaza Askari aliyefanikisha kuipata simu yangu ni tofauti na yule ambae alikabidhiwa file la kesi yangu...Na simu ilionekana siku 4 baada ya mimi na @yushas kuanza kuwasiliana hivo nikaamin moja kwa moja itakua @yushas ndio kafanikisha simu yangu kupatikana...kwa fikra zangu nawaza labda kipindi kile @yushas anashughulikia kupatikana kwa simu yangu labda hakua bize sana tofauti na saiv ambapo baada ya uzi huu kufunguliwa members wengi wamemtafuta awasaidie kutrack simu zao zilizopotea/kuibiwa hivo kupelekea yeye kuwa na kazi ya kutrack simu nying kwa wakati mmoja au inawezekana ni kweli kaingiwa na tamaa na kutapeli watu by the way nimeshangaa kuona watu wamemlipa pesa kabla ya kazi kufanyika kitu ambacho mimi sikukifanya (Nilimtumia elfu 30 baada ya kupigiwa simu na askari kuniambia simu imepatikana)
Nb.kesho nitaleta ushaid wa conversation nilizofanya na @yushas kupitia telegram ambazo zilizaa matunda had simu yangu kupatikana
Huna lolote, wewe na Yoshas ni mtu mmoja na wewe ndio chanzo cha sisi kutapeliwa maana ulitoa ushuhuda kumbe mwizi tuNimejisikia vibaya kupewa tuhuma ambazo hazina ukweli wowote..naona watu wanadhani Id yangu ni moja na ya @yushas kitu ambacho sio cha kweli... Naomba nikiri wazi kuwa nilimtafuta @yushas anisaidie kutrack simu yangu wakati tayari nishafungua kesi kituo cha polisi na tayar kesi yangu ilipewa askari wa kuifatilia lakin cha kushangaza Askari aliyefanikisha kuipata simu yangu ni tofauti na yule ambae alikabidhiwa file la kesi yangu...Na simu ilionekana siku 4 baada ya mimi na @yushas kuanza kuwasiliana hivo nikaamin moja kwa moja itakua @yushas ndio kafanikisha simu yangu kupatikana...kwa fikra zangu nawaza labda kipindi kile @yushas anashughulikia kupatikana kwa simu yangu labda hakua bize sana tofauti na saiv ambapo baada ya uzi huu kufunguliwa members wengi wamemtafuta awasaidie kutrack simu zao zilizopotea/kuibiwa hivo kupelekea yeye kuwa na kazi ya kutrack simu nying kwa wakati mmoja au inawezekana ni kweli kaingiwa na tamaa na kutapeli watu by the way nimeshangaa kuona watu wamemlipa pesa kabla ya kazi kufanyika kitu ambacho mimi sikukifanya (Nilimtumia elfu 30 baada ya kupigiwa simu na askari kuniambia simu imepatikana)
Nb.kesho nitaleta ushaid wa conversation nilizofanya na @yushas kupitia telegram ambazo zilizaa matunda had simu yangu kupatikana
Nimejisikia vibaya kupewa tuhuma ambazo hazina ukweli wowote..naona watu wanadhani Id yangu ni moja na ya @yushas kitu ambacho sio cha kweli... Naomba nikiri wazi kuwa nilimtafuta @yushas anisaidie kutrack simu yangu wakati tayari nishafungua kesi kituo cha polisi na tayar kesi yangu ilipewa askari wa kuifatilia lakin cha kushangaza Askari aliyefanikisha kuipata simu yangu ni tofauti na yule ambae alikabidhiwa file la kesi yangu...Na simu ilionekana siku 4 baada ya mimi na @yushas kuanza kuwasiliana hivo nikaamin moja kwa moja itakua @yushas ndio kafanikisha simu yangu kupatikana...kwa fikra zangu nawaza labda kipindi kile @yushas anashughulikia kupatikana kwa simu yangu labda hakua bize sana tofauti na saiv ambapo baada ya uzi huu kufunguliwa members wengi wamemtafuta awasaidie kutrack simu zao zilizopotea/kuibiwa hivo kupelekea yeye kuwa na kazi ya kutrack simu nying kwa wakati mmoja au inawezekana ni kweli kaingiwa na tamaa na kutapeli watu by the way nimeshangaa kuona watu wamemlipa pesa kabla ya kazi kufanyika kitu ambacho mimi sikukifanya (Nilimtumia elfu 30 baada ya kupigiwa simu na askari kuniambia simu imepatikana)
Nb.kesho nitaleta ushaid wa conversation nilizofanya na @yushas kupitia telegram ambazo zilizaa matunda had simu yangu kupatikana
vipo vifaa vya wazungu tunatumia mkuu watu wamezoea ku download app play store ambazo hazifanyi kazi kabisa .....vipo vifaa maalum ambavyo huwezi kuruka wala kudanganya wengi nimewafanyia kazi na wamepata simu zao na kama wapo humu waje watoe shuhuda zao.
all in all ninacho hitaji kikubwa kabla sijaanza kazi yangu ni rb tuu uliyo pewa polisi then mimi nitajua nini cha kufanya popote ulipo ilimradi iwe tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni Pm namba yakoyoshas nakuomba uingie kwenye group yangu ya telegram, xiaomi users Tz ku na vitu utatusaidia sana na Please njoo na user name hiohio