Nawezaje kupata simu ilioibiwa?

Nawezaje kupata simu ilioibiwa?

Nimejisikia vibaya kupewa tuhuma ambazo hazina ukweli wowote..naona watu wanadhani Id yangu ni moja na ya @yushas kitu ambacho sio cha kweli... Naomba nikiri wazi kuwa nilimtafuta @yushas anisaidie kutrack simu yangu wakati tayari nishafungua kesi kituo cha polisi na tayar kesi yangu ilipewa askari wa kuifatilia lakin cha kushangaza Askari aliyefanikisha kuipata simu yangu ni tofauti na yule ambae alikabidhiwa file la kesi yangu...Na simu ilionekana siku 4 baada ya mimi na @yushas kuanza kuwasiliana hivo nikaamin moja kwa moja itakua @yushas ndio kafanikisha simu yangu kupatikana...kwa fikra zangu nawaza labda kipindi kile @yushas anashughulikia kupatikana kwa simu yangu labda hakua bize sana tofauti na saiv ambapo baada ya uzi huu kufunguliwa members wengi wamemtafuta awasaidie kutrack simu zao zilizopotea/kuibiwa hivo kupelekea yeye kuwa na kazi ya kutrack simu nying kwa wakati mmoja au inawezekana ni kweli kaingiwa na tamaa na kutapeli watu by the way nimeshangaa kuona watu wamemlipa pesa kabla ya kazi kufanyika kitu ambacho mimi sikukifanya (Nilimtumia elfu 30 baada ya kupigiwa simu na askari kuniambia simu imepatikana)

Nb.kesho nitaleta ushaid wa conversation nilizofanya na @yushas kupitia telegram ambazo zilizaa matunda had simu yangu kupatikana
Mkuu hata kutunga uongo tu huwezi

Acha utapeli wewe

Mi najua mwanzo mwisho jinsi simu inavyofuatiliwa na polisi hadi kuja kupatikana

Kwanza ni askari maalum ndio wana mamlaka ya kufanya hivyo
Kumbuka imei inatakiwa kuwa tracked kwenye mitandao yote
Sasa raia atawezaje kufanya hiyo kazi ya kwenda kwenye mitandao kuomba info za wateja?

Labda mwizi awe fala asifute acc ya google ndio utampata
 
Dah wengine mna bahat aisee aubuna ndugu police nn mkuu mbona wengine majanga tu mpaka tunataka kutaperiwa
Mi nipo mkoàni nilipigwa Samsang yangu nikaenda polisi na imei
Nikafungua kesi nikapata RB kisha nikapelekwa kwa askari wanaohusika na hii mambo
Nikaambiwa andaa elf50, simu ikisoma tu inatumiwa unawapa hiyo 50 halafu kama simu itakua mbali na ulipo basi utachangia nauli kuifuata
Na atakaye kamatwa na simu atakurudishia gharama zako zote, yaani 50k pamoja na nauli

Baada ya wiki 2 nikapigiwa ipo hewani nikwarushia uzuri mwizi aliiuza hapahapa mjini

Akadakwa nikapewa simu na jamaa akanirudishia gharama zangu

Kwa maelezo yao hiyo 50k anatumiwa jamaa tcra ili kuitrace no kwenye mitandao yote
 
Kweli dar washamba hawaishi.

Yaani ni kama wale jamaa wanakusanyaga watu na maspika kwamba wanauza dawa za kutoa sumu mwilini.kila walipo unakuta nyomi la kufa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja siku zisogee baada ya siku 3 nitatoa ushuhuda mzima maana inawezekana bado anajipanga lkn kwa kifupi namba alizonipa hazipatikan, whsp ofline kitu alicho niahid baada ya dakik 2 mpaka sahiz hajatekeleza na vitu kibao vinavyo niaminisha nimepigwa japo n pesa kidogo sio mbaya San.



Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, umeongea kwa uchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja siku zisogee baada ya siku 3 nitatoa ushuhuda mzima maana inawezekana bado anajipanga lkn kwa kifupi namba alizonipa hazipatikan, whsp ofline kitu alicho niahid baada ya dakik 2 mpaka sahiz hajatekeleza na vitu kibao vinavyo niaminisha nimepigwa japo n pesa kidogo sio mbaya San.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu msiishi kwa kuwaamini watu simple simple hapo ashakupiga pole sana etii simu iflashiwe alafu uipate uongo huo .

Sent using [Oppo A3s]Jamii Forums mobile app[/url]
 
Hawa wezi jf hawataisha wanakuja na maneno mazuri kumbe ovyoo.

Sent using [OppoA3s]
 
Back
Top Bottom