Nawezaje kupata simu ilioibiwa?

Nawezaje kupata simu ilioibiwa?

Wakuu vibaka wameniibia simu yangu Samsung Galaxy Tab A 7. android 5.x.x
nimejaribu kuitrack lakini naona itakua imefanyiwa factory reset, android version yake haina ile lock ambayo hata uki rest haitoki

naombeni ushauri kuna namna naweza fanya kabla ya kwenda polisi nimepewa fununu plisi wanaweza kuitrack ikapatikana

Nawasilisha
Kama ulihifadhi EMEI number ya simu iliyoibiwa utaipata. Mimi nimepata tablet baada ya kupotea miezi minne. Wahi kabla hawajaipeleka kwa fundi kubadili number hiyo
 
Mkuu mimi niliibiwa simu za smartphone 2 kwa wakati mmoja nyumbani kwangu usiku ilikuwa mwaka jana mwanzoni na RB bado ya kesi bado ipo nitakuja inbox tuyajenge maana mplelezi wangu alitaka hera ambayo sina uwezo nayo naye baada ya kuona nipo kimya amekuja jiwe kimya naomba msaada wako maana inaniuma namna alivotitaperi huyo mwizi aisee harafu cha ajabu mpaka namba yake bado ninayo yaani
kaibe halafu useme ww muelewa nyie ndio mnakuja inbox kulia lia nawazibia rizki zenu try 4 ua better life uone nn kitakutokea hutajuta rafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipigwa sh ngap mkuu
MREJESHO:
Wakuu nashukuru nimeipata simu yangu
Nilienda polisi kuchukua RB, baada ya hapo askari akanambia naweza kuitrack kama nataka
Akaniunganisha kwa askari wa kitengo nikampa details tukayajenga
Jana akanipigia simu nikaenda nikapewa simu yangu ila mwizi wangu sikumuona
 
Kwa mwizi wamechukua hela tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulihifadhi EMEI number ya simu iliyoibiwa utaipata. Mimi nimepata tablet baada ya kupotea miezi minne. Wahi kabla hawajaipeleka kwa fundi kubadili number hiyo
Uki log in kwenye google acc yako kwa kutumia kompyuta unaipata imei yako mkuu
Mi sikuhifadhi niliipata huko google na kwwnye acc yangu ya Samsung
 
Ngoja siku zisogee baada ya siku 3 nitatoa ushuhuda mzima maana inawezekana bado anajipanga lkn kwa kifupi namba alizonipa hazipatikan, whsp ofline kitu alicho niahid baada ya dakik 2 mpaka sahiz hajatekeleza na vitu kibao vinavyo niaminisha nimepigwa japo n pesa kidogo sio mbaya San.

1)Ulimtumia sh ngapi??
2)ulienda ukaonana naye na ukaona ofisi yake ilipo?
3)makubaliano mliyofanya yalikuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja siku zisogee baada ya siku 3 nitatoa ushuhuda mzima maana inawezekana bado anajipanga lkn kwa kifupi namba alizonipa hazipatikan, whsp ofline kitu alicho niahid baada ya dakik 2 mpaka sahiz hajatekeleza na vitu kibao vinavyo niaminisha nimepigwa japo n pesa kidogo sio mbaya San.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukileta ushuhuda naomba ni tag.
 
#yoshas ni tapeli.
Jamaa na atakuwa kawatapeli wengi humu
Mimi nilijifanya mteja na nikamwambia kuwa nataka huduma yake basi
Akaniambia tuma rb nikatuma nikamwambia tuonane akaanza kila mara anasema yuko kanisani na anajifanya msabato.
Jamaa ni bonge la tapeli

Kama umeibiwa simu yako na uko DSM.
Nenda tabata segerea kwenye gazebo la halotel na kuna mdada utamkuta mweusi omba connection atakupa connection na watu wa hapo hapo segerea na utapata simu yako ndani ya siku mbili. Na hawachukua hata sent kabla ya kupata simu yako.
NB. Usikubali kutoa pesa kabla ya kupata simu yako narudia tena usitoe hata sent kabla ya kupata simu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heee kumbe uzi nimefika mwisho, mjini akili tuu pesa utazikuta.

Nimechoka alipo sema *popote ulipo simu unaipata mtu yy yuko dsm tracker, mm kigoma nilie poteza simu, dah*

Ukibiwa simu ikabadilishwa IMEI ndo sio yako tena, hutokaa uipate milele kwa Tz labda uwape CIA ndo wanaweza kuipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom