rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,165
- 43,854
#yoshas ni tapeli.
Jamaa na atakuwa kawatapeli wengi humu
Mimi nilijifanya mteja na nikamwambia kuwa nataka huduma yake basi
Akaniambia tuma rb nikatuma nikamwambia tuonane akaanza kila mara anasema yuko kanisani na anajifanya msabato.
Jamaa ni bonge la tapeli
Kama umeibiwa simu yako na uko DSM.
Nenda tabata segerea kwenye gazebo la halotel na kuna mdada utamkuta mweusi omba connection atakupa connection na watu wa hapo hapo segerea na utapata simu yako ndani ya siku mbili. Na hawachukua hata sent kabla ya kupata simu yako.
NB. Usikubali kutoa pesa kabla ya kupata simu yako narudia tena usitoe hata sent kabla ya kupata simu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app



watu washaliaa...!! Kweli bongo nyosooSent using Jamii Forums mobile app