yani kitendo.cha yy kutokuwa responsible teyar ni ishara kuwa hakupendezwa nayo....sio lazma aseme matendo yanatosha kujua iviYeah alitaka nikatoe ila sasa kama hana mpango mbona haniambii kama haitambui mimba zaidi anasisitiza mimba ni yake na tutakaa tuongee jinsi ya kumlea mtoto. Naona anafocus kwa mtoto zaidi kuliko ujauzito. Lakini kama anatambua kuna mtoto anakuja kwanin asijali na ujauzito. Ni mume wa mtu ila mke wake haishi bongo na alinidanganya hana mke kabla hatujaanza mahusiano.