T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,116
- 30,549
Kama ukimcheki mnaongea mazuriHatujawahi kugombana hata siku moja. Labda tulipishana maneno alivyotaka nitoe nikakataa ila hatuna ugomvi wowote mimi na yeye na mpaka sasa nikimchek tunaongea vizuri tu.
Hayo mazuri mnayoongea yanahusika na huo ujauzito wako?
Au mnaongelea mazuri ya baby umevaa chupi ya rangi gani leo?
Nije tulale?Nimekumiss..
Au mazuri yapi hayo ambayo yanakufanya uwe na imani nae wakati umetueleza kabisa kuwa unahutaji msaada toka kwake ila haionyeshi kukusaidia?
Pole sana mpendwa wangu